Miezi mitatu iliopita Waziri mkuu wa Ethiopia pamoja na Rais wa Kenya walizindua mradi wa Barabara ya 500Km kutoka mpaka wa Kenya hadi Hawassa ambako kuna viwanda na mji mkuu ambao Mizigo yao itakua inapitia Lamu
Huyu hapa akizindua rasmi ujenzi wa barabara hio akiwa upande huo wa Ethiopia.
Hapa kwa map unaweza kuona Hawassa iko wapi kutoka Kenya. As you can see, hata hao Ethiopia wako na mipango ya kujenga reli hadi mpaka wa Kenya.
Huyu hapa akitembea na kivuka mpaka na kuingia Kenya kwa miguu akiwa anakagua kivuko hicho - Hapa walifungua rasmi kituo hicho cha One-Stop-border.
Baada ya hapo Waziri huyo wa Ethiopia na delegation yake ilipanda ndege ya KDF na kuelekea Lamu port amabako alikua anangojewa
Walipofika Lamu Wakapokewa na AU High representative for Infrastructure Project - Raila Odinga
Pia Gavana wa Lamu alikua hapo
Baadae wakachukua boti kuzunguka na kugakua ujenzi wa bandari ya Lamu
Hapa akaonyeshwa barabara tofauti ambazo zitatumika kusafirisha mizigo kutoka Lamu kuelekea Ethiopia.
Hotuba zao walitoa hapo juu ya bandari la lamu
Kwa kifupi waziri mkuu wa Ethiopia alishazindua mradi wa Lapsset. Hakuna jengine la kufanya ambalo limebakia ila kungoja mizigo ifike Ethiopia. Msidhani sisi ni kama nyinyi, Suluhu anaenda kusign EOCOP pipeline kule Kampala kwa ziara ya siku moja alafu wiki moja baadae M7 naye aje kusign mradi huo huo Dar/Dodoma kwa ziara ya siko moja pia, kwani Tanzania hamna G4S mmtumiwe hizo documents 🤣🤣🤣
Bonus pic