Unlimited high peed internet

Unlimited high peed internet

mfianchi

Platinum Member
Joined
Jul 1, 2009
Posts
11,904
Reaction score
8,371
Jamani mimi natumia Zantel kwenye huduma ya internate,cha ajabu kwenye package zao ziwe za saa 24,siku 7 au siku 30 wanatangaza kuwa ni Unlimited ilihali ni UONGO,ukishusha vitu vingi inaisha kabla ya muda wake na unatakiwa uongeza hela sasa hiyo UNLIMITED ina maana gani,tafadhali wajuzi naomba mtutoe matongotongo ya hizi huduma.Kwenye speed sina tatizo nako ,Zantel ni nambare wani.
 
Wanaweza kumaanisha unlimited speed au unlimited download volume.
Hebu tuandikie hilo tangazo lao tuone.
 
Kwenye hizi taaluma mimi mgeni kidogo, lakini nina wasiwasi hapo kwenye red, hivi technically inawezekana?
 
....inaweza kuwa kwamba device uliyonayo (Blackberry kwa mfano) ambayo maximum speed yake ya ku-download ni 1Mbps, halafu ISP anatoa 2Mbps.
 
kwa uelewa wangu mimi kwa kutumia ile ya zain ya siku moja wanasema wazi kabisa kuwa get up to 200 mb downloads per day,kwahiyo inawezekana zantel wana assume kwamba unaweza usimalize hizo mbs wanazokupa[kwa mfano hizo 200]ikitokea umemaliza ndio inakutaka ulipie tena.
 
Jamani mimi natumia Zantel kwenye huduma ya internate,cha ajabu kwenye package zao ziwe za saa 24,siku 7 au siku 30 wanatangaza kuwa ni Unlimited ilihali ni UONGO,ukishusha vitu vingi inaisha kabla ya muda wake na unatakiwa uongeza hela sasa hiyo UNLIMITED ina maana gani,tafadhali wajuzi naomba mtutoe matongotongo ya hizi huduma.Kwenye speed sina tatizo nako ,Zantel ni nambare wani.
mfianchi,
Wewe ulitegemea unlimited download. Title uliyoweka inaeleza "unlimited speed". Internet service providers wana kawaida ya ku-withhold information. Hapo inaonesha hukuelezwa kwamba kuna limitation kwenye kiasi wanachoruhusu ku-download. Kwenye mikopo ya bank, hali sio tofauti na wanachofanya ISP.

Watetezi wa walaji wanaoweza kuingilia kati kupunguza hila hizi. Inategemea pia msukumo unaotoka kwa mlaji mwenyewe.
 
Tanzania hakuna advertising standards, unaweza ukaandika chochote kile. Nilikumbana na tatizo hili hili Zain baada ya kununua Unlimited Data package yao.

Sehemu zengine utakuta kuna kinyota baada ya Unlimited* ujue kuna fair usage policy ambayo inadai unlimited means 200Mb/month, wizi mtupu.

Kwenye wireless internet kuwa na Unlimited ni ngumu sana, kwa sababu bandwidth ni limited resource.

Hakuna kitu kama unlimited speed, haileti maana yoyote.
 
Technically, yes. You may say there is no such thing as unlimited speed.

Tunaelewa kwamba speed pamoja na bandwidth ya data kwenye fibers zinazounganisha Europe na USA ni kubwa mno. Suppose computer yako (100Mbps) imeunganishwa hapo - limit itakuwa kwenye uwezo wa computer yako kuvuta kukaribia hiyo 100mbps 🙂

Router yako yenye uwezo wa kuvuta 1000mbps itatumia just a fraction ya hiyo limit ya capacity ya bandwidth (Europe-USA).
 
ISP anaposema unlimited speed ila kumbe anatoa "256kbps shared", huo ni usanii wenye dhihaka ndani yake.
 
Tatizo ni LUGHA YA BIASHARA!
Katika miaka ya hivi karibuni tangu watanzania wajifunze lugha za 'kibishara' kila kitu kimeharibika! Sio kwenye mashirika ya umma wala binafsi! Hebu angalia kwa ufupi magazeti yetu yanavyotumia lugha za biashara! Unakuta bonge la kichwa cha habari kwa lugha ya 'kibiashara' ili hali ukisoma ndani unakuta havishabihiani na kichwa cha habari!
"MWALIMU NYERERE ALIMPAPASA AMINA CHIFUPA"! Mara "WANTED"! Mara "VIONGOZI WA DECI MATATANI"
Yani kunakila aina ya lugha ya 'kibiashara' siku hizi inatumika kuficha ukweli wa huduma unavyotolewa. Angalia matangazo ya promotions nyingi za kampuni za simu ni feki. Wanakwambia ukijiunga na XTREME unaongea BURE! Zain nao ni vivyo hivyo! Kwa hiyo ndugu zangu kuna kila udanganyifu katika matangazo ya Taasisi hizi. Mara nyingi sana nakuwa makini kwa kiwango kikubwa katika matangazo ya vyakula na madawa ya binadamu aidha katika taasisi zilizo na mamlaka au za kienyeji! Huku ndo watanzania wengi tunaumia.
 
Umenikumbusha jambo; wateja nao wazembe sometime. They only see what they want to see and not what is there for them to see.

"Sasa una dakika 200 za kupiga simu BURE Tigo-Tigo mpaka saa 12 jioni. Umekatwa Tsh 1800 tu. Ili kujua salio la dakika lako, tuma neno SALIO kwenda 15372. Tigo!"

"You can get FREE 60 minutes of call time, with only Tsh 500!"

Ukizembea kwenye mambo madogo kama haya, haitashangaza kuona unalizwa kwenye mikataba, mfano, mkopo toka benki.
 
Ila Zantel ni wazuri nikilinganisha na ISP wengine hii ni kuanzia speed,Gharama na quality ya service yao
 
Sasatel wanazo Bundle za Unlimited ya kweli (hamna quota)

Kuna
Bundle za 250,000/- per month for 5 computers
Bundle za 500,000/- per month for 6-10 computers
Bundle za 840,000/- per month for 11-30 computers

Kuna pia za prepaid za 600mb , 3gb up to 10gb pia

B.P - 2009
 
ni usanii tuu akuna unlimited chochote lugha ya biashara na ile ya kulipia elfu 7 ndo usanii kabisa utatumia kiduchu itaanza kugoma nilishapoteza pessa nyingi bila mafanikio
 
Sasatel wanazo Bundle za Unlimited ya kweli (hamna quota)

Kuna
Bundle za 250,000/- per month for 5 computers
Bundle za 500,000/- per month for 6-10 computers
Bundle za 840,000/- per month for 11-30 computers

Kuna pia za prepaid za 600mb , 3gb up to 10gb pia

B.P - 2009

Unlimited download?
Ukiona hivyo basi inawezekana kabisa speed yao ni ndogo. Kwa maana kwamba hata u-download usiku na mchana, mwisho wa mwezi hufikishi 5GB
 
Back
Top Bottom