Nivigumu sana kunijua mimi. Kwani Uhuru after all this election nitakuwa nae. Just mind on your issues on having an employment.Nakuru-0%
Nyeri-0%
Leo utahara msee
sent from iPhone 7
Shauri yako kama ulibet ukaekelea pesa zako kwa NASA! Nilipiga kura yangu asubuhi sina ugomvi na mtu wala wasiwasi wowote, Uhunye punch inengi!Najiabisha kwa lipi kenge wewe. Tulieni. Mbona sisi NASA hatuna pressure. Mimi pesa inaingia kupitia siasa za Kenya. Tulia.
Huyu chizi keshaanza! Usidhubutu kumkaribia Uhuru, kwenye ndoto zako! Hehe! Vipi, freemason waliacha kukuandama aisee?Nivigumu sana kunijua mimi. Kwani Uhuru after all this election nitakuwa nae. Just mind on your issues on having an employment.
Labda wewe unaeishi Kibera not me at all. For your own info anategemea part from my own business. Okay my friend from Kibera. Just relax. Usichojua usiku wa giza. Utaposikia watu wa NASA wakilalamika jua tumemaliza kazi.Huyu chizi keshaanza! Usidhubutu kumkaribia Uhuru, kwenye ndoto zako! Hehe! Vipi, freemason waliacha kukuandama aisee?
MFA maji haachi kutapatapaHawa wajinga waliambiwa maradufu kwamba IEBC haipigi kura, KDF hawatahesabu kura , Al Ghuraih hawaegemei Jubilee na wakaleta kesi nyingi kortini kuhusu uchaguzi. Yaani hawa NASA are paranoid kabisa with no sense whatsoever.
We mtz utakuwa ni sampuli ya nyumbu! Kwetu ni Kajiado County, Kibera labda mnapopatana na hao freemason wenzako! Mila na desturi zetu hazimkubali mwanaume atajetaje mali ambayo anayo ovyoovyo. Pesa zako ulizobeti nazo zimetokomea gizani kama RAO! Hehe!Labda wewe unaeishi Kibera not me at all. For your own info anategemea part from my own business. Okay my friend from Kibera. Just relax. Usichojua usiku wa giza. Utaposikia watu wa NASA wakilalamika jua tumemaliza kazi.
We mtz utakuwa ni sampuli ya nyumbu! Kwetu ni Kajiado County, Kibera labda mnapopatana na hao freemason wenzako! Mila na desturi zetu hazimkubali mwanaume atajetaje mali ambayo anayo ovyoovyo. Pesa zako ulizobeti nazo zimetokomea gizani kama RAO! Hehe!
Ndugu yangu umeona hiyo press confrence ya NASA? Wameitisha mass action! Mbona wasingengoja hadi asubuhi angalau waende hata mahakamani? Hawa jamaa furaha yao ni damu ikimwagika!Hehe ,its good you're from Kajiado .If we entrust power to NASA and Odinga in particular Kenya will be one huge Kibera sababu hawa watu ni politics politics politics 24/7 hawana haja na wakati wa kujenga barabara ,viwanda ama hospitals.
Very irresponsible kuitisha mass action tena.Nimeona press conference ambayo Odinga amekataa results za IEBC ...and its funny he rejected the previous IEBC lakini matokeo wembe ni ule ule .He's lost the election.Ndugu yangu umeona hiyo press confrence ya NASA? Wameitisha mass action! Mbona wasingengoja hadi asubuhi angalau waende hata mahakamani? Hawa jamaa furaha yao ni damu ikimwagika!
ComradesVery irresponsible kuitisha mass action tena.Nimeona press conference ambayo Odinga amekataa results za IEBC ...and its funny he rejected the previous IEBC lakini matokeo wembe ni ule ule .He's lost the election.
Watafanya hivyo kama tunavyowafanya huku nie UKAWA. CCM hoyee, Uhuru juu.Comrades
Nilisema toka mwz uliopita baada ya kuangalia trend ya kampeni zao
Uhuruto wanabakia ikulu kwa maslahi mapana ya Kenya
NASA watashangaa sana IEBC wakimtangaza Uhuru kuendelea kuwa Rais wa Nne wa Kenya kwa maslahi mapana ya Kenya
Hawa ndugu zetu NASA ni power mongers
Nashauri Jeshi na NIS wakae mtaani haraka sana kuzima huu uasi ikibidi kutoa fundisho kwa wale viherehere
Chief Economist
Oooh my God. Kumbe naongea na mtu wa Kajiado. Get lost. Ungekuwa wa Mombasa , Kisumu au Nairobi ningekuelewa. Sio huko ushago.We mtz utakuwa ni sampuli ya nyumbu! Kwetu ni Kajiado County, Kibera labda mnapopatana na hao freemason wenzako! Mila na desturi zetu hazimkubali mwanaume atajetaje mali ambayo anayo ovyoovyo. Pesa zako ulizobeti nazo zimetokomea gizani kama RAO! Hehe!
Hacha sanaa wewe, odinga alilala chato kwa mwenyekiti wa CCM na kauli ya mwenyekiti ndo kauli ya chama odinga oyee, ccm oyee.Watafanya hivyo kama tunavyowafanya huku nie UKAWA. CCM hoyee, Uhuru juu.