Unofficial Election results: NASA tallying center

Unofficial Election results: NASA tallying center

Nimekuwekea some forms ambazo IEBC walitumiwa muda mrefu lakini bado hawaja tanganza. Hizo hapo juu
Nimekuelewa. At least umeonyesha kitu.
Sisi humu tunataka kuona flow ya matokeo na wala sio form moja moja.
Maana kama Tallying system ya NASA inafanya kazi, basi utupe hizo taarifa za jumla ya matokeo kadri zinavyoingia na kurekodiwa katika system yao.
 
Nili wahaidi kuwaletea matokeo kutoka kwenye tallying center yetu ya NASA. Lakini nahona kwa wenye App ya Telegram hiyo itakuwa njia rahisi. Lakini pia nitakuwa nikiweka matokeo kadri tutavyo yapata kupita hii page.
Why is NASA allowed to have its own tallying center? Huu ni unafiki mkubwa ,there's only one independent legal entity tasked by the katiba with tallying and announcing results.
 
Why is NASA allowed to have its own tallying center? Huu ni unafiki mkubwa ,there's only one independent legal entity tasked by the katiba with tallying and announcing results.
Hawa jamaa walijifanya vichwa vibovu! Tallying centre walikubaliwa lakini cha ajabu wao pia wanangoja za IEBC kama wengine wote! Hehe imekula kwao dunia nzima inatazama Uhuru akichukua hii kitu ''fair and square!''
 
Nyie watu wamangovi kwa sasa mnakura ngapi
Wachana na hawa wanafiki they don't respect the constitution or have faith in our institutions .The only legal entity that can declare results is IEBC .

Surely how do you want to govern a country whose institutions you don't respect or recognize?
 
Kuna load balancing inafanyika sio automation kwa jinsi unategemea.

Nahisi kama kuna algorithm inafanya calculation, inakuwa je kwa random selection percent iko constant for almost 5 hours? yani embedded software ipo kwa kazi.
 
Nahisi kama kuna algorythm inafanya calculation, inakuwa je kwa random selection percent iko constant for almost 5 hours? yani embedded software ipo kwa kazi.
Mu Israel anafanya yake
 
From Bomas and NASA Tallying Centers.

Uhuru strongholds votes trickling in:

Kiambu has sent 48% of cast votes counted
Uasin Gishu 44%
Nyeri 40%
Laikipia 59%
Meru 60%
Embu 44%

NASA strongholds are still counting their votes.

Kisumu 21% of cast votes counted
Mombasa 11%
Vihiga 33%
Kitui 14%
Kakamega 7% of cast votes counted.

So the results coming are from UK strongholds jubilee (more than 57% cast votes counted), strongholds NASA still less than 30% of cast votes.
 
We jamaa una vituko Uhuru 5.4million Raila 4.3million, gap 1.1million! Nenda kalale!
 
Tukubali ukweli tu, hii game Uhuru Kenyatta ameshinda. Mwelekeo uko wazi sana, kama matokeo rasmi ya kura zilizohesabiwa ni nusu ya watu wote waliojiandikisha, na tofauti ya kura ni zaidi ya milioni moja, huku Uhuru akiongoza. Hapo unategemea nini?

Unategemea Raila anaweza kugeuza hayo matokeo na kuweza kulifukia gap la zaidi ya milioni mmoja aliloachwa? Sio jambo rahisi kabisa.

Unategemea katika watu milioni 19 waliojiandikisha wote wamepiga kura? Haiwezekani.
 
IEBC has confirmed to have tallied 81.56% of 1.2 million votes of Kiambu. Kiambu is Juliee number 1 stronghold.
Plus results tuko nazo. Ila tunasubilia kama strategy kwa sasa kutozitoa. But ziko. Msitake tuanze kutoa siraha zote. Acha tumpe IEBC Nafasi.
 
Back
Top Bottom