Unofficial Election results: NASA tallying center

Unofficial Election results: NASA tallying center

Hata Mimi nilibadiri gia angani
Hahahaaa hiki kitu kimemuadhiri sana odinga asinge onesha mahaba ya dhati na magu na magu asinge onesha kachuki hiv na kenyata , maana kuna wakenya wengi nimewasikia wakilalamika hilo hilo kuwa bora arudi kenyata maana odinga akishikama na magu kenya inaweeza kuwa kama tzi
 
Tabulating numbers from various centres across the country. Our supporters need to know this is just start of the night and we did go in this to lose
IMG_20170808_222523.jpg
 
Be patient we are discussing over something towards the results that we are getting. But everything is okay.
 
Kuna matokeo tunapata kwenye tallying center lakini tumeambiwa ni fake. So please be patient.
 
Wanafanya manual hii si electronic tallying. Maana matokea yanakuja kwa mkupuo harafu unasubiri , hii ni pure manual.
 
Wanafanya manual hii si electronic tallying. Maana matokea yanakuja kwa mkupuo harafu unasubiri , hii ni pure manual.

Kuna load balancing inafanyika sio automation kwa jinsi unategemea.
 
Uko nyuma sana wewe na hiyo tallying centre yako ya sijui Kigamboni au wapi, wanaokupa updates naona wanachelewa sana kiasi kwamba hata Mkenya aliye kijijini ana taarifa za hivi punde zaidi yako.
Taarifa tunazo but just be patient kuna kitu tunaweka sawa.
 
Nilitegemea hapa ndio ningepata matokeo yasiyo rasmi kwa haraka zaidi kuliko kwingine kote, lakini hapaeleweki.
Hamjiamini?
Mnaogopa kutoa matokeo mabaya?
 
IEBC has streamed results from Jubilee stronghold in Bomet, Nyamira, Narock and Kisii to create perception. Be strong remain calm.
 
IEBC has streamed results from Jubilee stronghold in Bomet, Nyamira, Narock and Kisii to create perception. Be strong remain calm.
Leteni sasa hayo yenu kutoka huko kwenye ngome za NASA ili tujionee wenyewe.
Kama IEBC wanatoa yale mazuri tu ya Kenyatta na nyie anzeni kutoa yale mazuri ya Raila. Hakuna haja ya kulalamika, ni suala la kujibu mapigo papo kwa papo.
 
Kuna matokeo wamesha tumiwa IEBC muda mrefu sana lakini bado hayaja tangazwa. This are some of the forms. Relax it too early to judge this game. Muhimu kulinda wanapo hesabu.
IMG_20170808_225134.jpg
IMG_20170808_225216.jpg
IMG_20170808_225251.jpg
IMG_20170808_225352.jpg
 
Leteni sasa hayo yenu kutoka huko kwenye ngome za NASA ili tujionee wenyewe.
Kama IEBC wanatoa yale mazuri tu ya Kenyatta na nyie anzeni kutoa yale mazuri ya Raila. Hakuna haja ya kulalamika, ni suala la kujibu mapigo papo kwa papo.
Maneno ya mkosaji hayo .. Uhuruto atashinda tena . Muda utaongea
 
Leteni sasa hayo yenu kutoka huko kwenye ngome za NASA ili tujionee wenyewe.
Kama IEBC wanatoa yale mazuri tu ya Kenyatta na nyie anzeni kutoa yale mazuri ya Raila. Hakuna haja ya kulalamika, ni suala la kujibu mapigo papo kwa papo.
Nimekuwekea some forms ambazo IEBC walitumiwa muda mrefu lakini bado hawaja tanganza. Hizo hapo juu
 
IEBC has streamed results from Jubilee stronghold in Bomet, Nyamira, Narock and Kisii to create perception. Be strong remain calm.
Ndio hivyo hivyo mnasema kila msimu wa uchaguzi lakini mpaka mwisho matokeo yanakuwa hayo hayo
 
We have caught this thieves of Jubilee.
Jubilee created a fake IEBC website, with similar looks and everything. They then fed it with fake votes, especially from regions that Uhuru continuously went to campaign in: Kisii, Coast, some part of western, north eastern, and some parts of Rift Valley. Those supposed votes from Kisii and western kenya are fake.

They have been projecting those fake results at the fake Jubilee created IEBC website to IEBC screens. What they forget is that Kenyans voted peacefully, the votes are being counted and recorded in Form 34A.

IEBC did a good Job during voting and we expect that to continue. Chiloba and his team of sympathizers of Jubilee won't succeed. Paul Wambugu and Dennis Itumbi, we see you guys working very hard to implement the documents you guys sent me yesterday night.

We want you to know that we have form 34A. Kenyans turned out in large numbers and they voted. IEBC will only announce their votes and none from Jubilee server next door.
 
Tumeyashika majizi ya Jubilee. Tulieni kwanza. Ulinzi wamatokeo ni muhimu kuliko matokeo ya kura. We are too busy my dear friends. It hard to tell you everything. Be patient.
 
Back
Top Bottom