Unofficial Election results: NASA tallying center

Najiabisha kwa lipi kenge wewe. Tulieni. Mbona sisi NASA hatuna pressure. Mimi pesa inaingia kupitia siasa za Kenya. Tulia.
Shauri yako kama ulibet ukaekelea pesa zako kwa NASA! Nilipiga kura yangu asubuhi sina ugomvi na mtu wala wasiwasi wowote, Uhunye punch inengi!
 
Nivigumu sana kunijua mimi. Kwani Uhuru after all this election nitakuwa nae. Just mind on your issues on having an employment.
Huyu chizi keshaanza! Usidhubutu kumkaribia Uhuru, kwenye ndoto zako! Hehe! Vipi, freemason waliacha kukuandama aisee?
 
Labda wewe unaeishi Kibera not me at all. For your own info anategemea part from my own business. Okay my friend from Kibera. Just relax. Usichojua usiku wa giza. Utaposikia watu wa NASA wakilalamika jua tumemaliza kazi.
 
We mtz utakuwa ni sampuli ya nyumbu! Kwetu ni Kajiado County, Kibera labda mnapopatana na hao freemason wenzako! Mila na desturi zetu hazimkubali mwanaume atajetaje mali ambayo anayo ovyoovyo. Pesa zako ulizobeti nazo zimetokomea gizani kama RAO! Hehe!
 
Hehe ,its good you're from Kajiado .If we entrust power to NASA and Odinga in particular Kenya will be one huge Kibera sababu hawa watu ni politics politics politics 24/7 hawana haja na wakati wa kujenga barabara ,viwanda ama hospitals.
 
Ndugu yangu umeona hiyo press confrence ya NASA? Wameitisha mass action! Mbona wasingengoja hadi asubuhi angalau waende hata mahakamani? Hawa jamaa furaha yao ni damu ikimwagika!
 
Very irresponsible kuitisha mass action tena.Nimeona press conference ambayo Odinga amekataa results za IEBC ...and its funny he rejected the previous IEBC lakini matokeo wembe ni ule ule .He's lost the election.
 
Comrades
Nilisema toka mwz uliopita baada ya kuangalia trend ya kampeni zao

Uhuruto wanabakia ikulu kwa maslahi mapana ya Kenya

NASA watashangaa sana IEBC wakimtangaza Uhuru kuendelea kuwa Rais wa Nne wa Kenya kwa maslahi mapana ya Kenya

Hawa ndugu zetu NASA ni power mongers

Nashauri Jeshi na NIS wakae mtaani haraka sana kuzima huu uasi ikibidi kutoa fundisho kwa wale viherehere

Chief Economist
 
Naposema kuweni na subira jueni kuna mambo yanakuja kwa muda wake. It is 100% true nilijua Uhuru atashinda na nilimwambia mtu mmoja hapa ndani. Lakini tatizo niaina ya strategy iliyotumika ashinde imevuka mpaka. This news is too bad. Msiichukulie simple. Kaeni mguu ndani mguu nje.
Habari kama hii nimapema sana kujitokeza.
Screenshot_2017-08-09-02-59-12.png
Screenshot_2017-08-09-02-56-16.png
Screenshot_2017-08-09-02-54-24.png
Screenshot_2017-08-09-02-50-39.png
Screenshot_2017-08-09-02-57-17.png
 
Watu kwa sasa kwenye mitandao.Wanataka waingie mtaani wakinukishe. MK254 na Mzee wa iPhone 7 kaeni mguu nje mguu ndani hapo mlipo. Lakini NASA tunachoitaji ni amani.Wakubwa wengi kutoka nje wamemsisitiza hilo. Nashangaa kwa nini katoa habari kama hi mapema. Tupunguze mihamko kama hii kwenye mitandao. Elections zitaisha lakini Kenya lazima ibaki.
Screenshot_2017-08-09-02-49-32.png
 
Comrades
Nilisema toka mwz uliopita baada ya kuangalia trend ya kampeni zao

Uhuruto wanabakia ikulu kwa maslahi mapana ya Kenya

NASA watashangaa sana IEBC wakimtangaza Uhuru kuendelea kuwa Rais wa Nne wa Kenya kwa maslahi mapana ya Kenya

Hawa ndugu zetu NASA ni power mongers

Nashauri Jeshi na NIS wakae mtaani haraka sana kuzima huu uasi ikibidi kutoa fundisho kwa wale viherehere

Chief Economist
Watafanya hivyo kama tunavyowafanya huku nie UKAWA. CCM hoyee, Uhuru juu.
 
We mtz utakuwa ni sampuli ya nyumbu! Kwetu ni Kajiado County, Kibera labda mnapopatana na hao freemason wenzako! Mila na desturi zetu hazimkubali mwanaume atajetaje mali ambayo anayo ovyoovyo. Pesa zako ulizobeti nazo zimetokomea gizani kama RAO! Hehe!
Oooh my God. Kumbe naongea na mtu wa Kajiado. Get lost. Ungekuwa wa Mombasa , Kisumu au Nairobi ningekuelewa. Sio huko ushago.
 
Mimi Mtz ,nilimpenda Odinga ,ila baada ya kuungana na Sizonje ah,acha tu apigwe!
 
Back
Top Bottom