Unofficial Election results: NASA tallying center

Walioikimbia Nairobi ni wameru na wamasai wa Tz wanaojichimbia huko!!




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mazee nimeona sehemu NASA wanalalamika eti IECB wamefukuza wafanyakazi maeneo ambayo ni ngome yao
We unajua wamefukuzwa kwanini? Majina yao yapo kwenye orodha ya NASA/ANC ya watakaoteuliwa na chama hicho kama madiwani kwenye bunge za county baada ya uchaguzi. Yaani list ya nominated MCAs. Kumbuka hao ni senior officers kwenye vituo vya uchaguzi! IEBC ilishurutisha vyama vyote vipeane majina hayo kabla ya uchaguzi chini ya sheria mpya kwenye katiba. Zamani walikuwa wanapeana majina baada ya uchaguzi afu wanawteua vigogo wao walioshindwa kwenye uchaguzi km. Oburu Odinga! Mnadhani Raila ni msafi?
 
Wakenya msichague wapiga kelele kama Tz.... UK#5

Sent using Jamii Forums mobile app
Ongelea watu wengine lakini sio huyu mtu. Asilimia kubwa yawapiga kura mnaongea kwa ushabiki. Sometimes i feel sorry when you lineup to elect the elected. Nivigumu kujua cards za siasa zinavyo chezwa. Everything is planned and once you fail the only way is to be eliminated completly. The person with one eye is watching. Leo nikikwambia kuwa mimi nilizunguka na Lowassa Tanzania nzima tukiwa na Chadema kupiga kampeni huwezi hamini. But I have to tell you that we are all one. Pia 2020 nitakuwa na Chadema. Magufuli mpe heshima yake kama anayopewa Uhuru. You only hate and fear the devil only because you RESPECT its strength. . Just know the same applies to our leaders.
 
Kisumu boys are already at the queue for voting by 12:45 am. Thank you our boys. That's the strong spirit.
 
Thank you for sharing. More people are getting connected to our tallying center just keep on. We also have experts from Israel to take us through this process.
 
Thank you for sharing. More people are getting connected to our tallying center just keep on. We also have experts from Israel to take us through this process.
How many so far?
 
Ukweli haubadiriki Kipara ni mpiga kelele tu hakuna anachofanya zaidi ya sifa za kijinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thank you for turning up in large numbers. This is the D day. Kenyans thank you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…