TangataUnyakeWasu
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 1,268
- 1,611
Walioikimbia Nairobi ni wameru na wamasai wa Tz wanaojichimbia huko!!Nina wasiwasi damu nyingi sana kumwagika. Wengi wameikimbia Nairobi na wengine hata kuikimbia Kenya na kuingia Tanzania kwa wingi. Wakenya wengi wana hofu kubwa kuhusu uchaguzi huu kwamba panga zitacharangana vibaya sana, Mwenyezi Mungu apishilie mbali. Chaguzi za hivi zinatisha sana.
Sent using Jamii Forums mobile app