Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Utapata tabu sana mwaka huuBaada ya kutolewa kwenye FA Cup, Carabao, nimekaa nikawaza nikaona ni kombe gani Arsenal anaweza kutwaa nimeshindwa kuona.
Arsenal kabaki kwenye michuano ya Europa League na EPL.
Europa hawezi kutoboa akijitahidi sana robo fainali.
EPL ndio kabisa hawezi kutwaa akijitahidi sana nafasi ya pili. Arsenal anaongoza ligi lakini bado hajacheza mechi mbili dhidi ya Man City. Bado ana mechi na Chelsea, Liverpool, West Ham na Brighton naamini huko kote atadondosha alama.
Hivyo nahitimisha kuwa Arsenal hatoshinda kombe lolote na hatakuwa hana tofauti na timu kama Leeds United au Aston Villa.
Kwa hiyo wakati Arsenal anadondosha alama kwenye hizo mechi 6 huyo Man city atakuwa anashinda mechi zote? Hatadondosha alama?Baada ya kutolewa kwenye FA Cup, Carabao, nimekaa nikawaza nikaona ni kombe gani Arsenal anaweza kutwaa nimeshindwa kuona.
Arsenal kabaki kwenye michuano ya Europa League na EPL.
Europa hawezi kutoboa akijitahidi sana robo fainali.
EPL ndio kabisa hawezi kutwaa akijitahidi sana nafasi ya pili. Arsenal anaongoza ligi lakini bado hajacheza mechi mbili dhidi ya Man City. Bado ana mechi na Chelsea, Liverpool, West Ham na Brighton naamini huko kote atadondosha alama.
Hivyo nahitimisha kuwa Arsenal hatoshinda kombe lolote na hatakuwa hana tofauti na timu kama Leeds United au Aston Villa.
Anajizima data tu... Arsenal hana mechi kwenye mashindano mengine hivyo ataweza kufocus zaidi kwenye Ligi. Man City hawezi kumfunga Arsenal mechi 2..... Yaani timu yake imepasuliwa halafu anaamini wengine hawatapasuka vibaya.Eti naamini atadondokea pua. Yaani mpira inafanya analysis kwa kuamini? Endelea kuamini wenzio haoambao hawajacheza na asernal hii walishaachana na imani, isipokuwa kila waliiangaliaarsenalilivo composed wanaishia kukubali huu ni mwaka wao na hakuna miujiza
Tukutane MeiNyuzi za hivi zimekua nyingi sana humu Jf.
Haya mateso yaendelee. Arsenal on top.View attachment 2498361
Hahaha mwezi mei mtasaga sana menoUtapata tabu sana mwaka huu
Mkiwa nafasi ya 3Kama kawaida yangu nitakuja kuufukua huu uzi
Mwili mkubwa akili kisodaKwa hiyo wakati Arsenal anadondosha alama kwenye hizo mechi 6 huyo Man city atakuwa anashinda mechi zote? Hatadondosha alama?
Na BTW hizo timu zote ulizotaja hakuna yenye uwezo wa kumfunga Arsenal. Tuna ushahidi wa walichofanywa round ya kwanza.
Na kama ungefanya tathmini kwa kutulia utaelewa kuwa kwa kutolewa kwenye hayo mashindano mengine ni fursa zaidi kwa Arsenal kuweka nguvu kubwa kwenye ligi wakati wengine wakiwa na mzigo wa mechi nyingi.
Mimi sio kama hao wenzangu, nina akili timamu za kutosha kusema Arsenal sio bingwaEti naamini atadondokea pua. Yaani mpira inafanya analysis kwa kuamini? Endelea kuamini wenzio haoambao hawajacheza na asernal hii walishaachana na imani, isipokuwa kila waliiangaliaarsenalilivo composed wanaishia kukubali huu ni mwaka wao na hakuna miujiza