Cytochrome p450
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,638
- 15,044
Umekalia kidoleđź–•Nimekaa pale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekalia kidoleđź–•Nimekaa pale
Endeleeni kujikojoleaVipi naona leo hawaji humu!!!???
Nyie ndio mmekojolewa huko na evertonEndeleeni kujikojolea
Baada ya kutolewa kwenye FA Cup, Carabao, nimekaa nikawaza nikaona ni kombe gani Arsenal anaweza kutwaa nimeshindwa kuona.
Arsenal kabaki kwenye michuano ya Europa League na EPL.
Europa hawezi kutoboa akijitahidi sana robo fainali.
EPL ndio kabisa hawezi kutwaa akijitahidi sana nafasi ya pili. Arsenal anaongoza ligi lakini bado hajacheza mechi mbili dhidi ya Man City. Bado ana mechi na Chelsea, Liverpool, West Ham na Brighton naamini huko kote atadondosha alama.
Hivyo nahitimisha kuwa Arsenal hatoshinda kombe lolote na hatakuwa hana tofauti na timu kama Leeds United au Aston Villa.
Zinchenko awe vipi average player wakati amechukua ubingwa akiwa na Man City?!Arsenal Ina average players wengi ambao wanapata matokeo kwa kutumia spirit waliyonayo sasa.
Nketiah, Zinchenko sio wachezaji wa kuwa kwenye 1st eleven ya timu inayotaka ubingwa.
Pia wanamakosa mengi sana ambayo huwa yanapelekea kucreat chances za wao kufungwa.
Uwezekano wa wao kupoteana kwenye mbio za ubingwa ni mkubwa sana, na hata ikitokea wamechukua, hawana consistency ya kuwafanya next season wa compete for title
Kuchukua ubingwa na city haimaanishi yeye sio average player. Timu ikiwa nzuri, mchezaji mbovu anazibwa na timu. Zinchenko ni average player mkuuZinchenko awe vipi average player wakati amechukua ubingwa akiwa na Man City?!
Unaangalizia mpira Livescore bila shakaKuchukua ubingwa na city haimaanishi yeye sio average player. Timu ikiwa nzuri, mchezaji mbovu anazibwa na timu. Zinchenko ni average player mkuu
Makasiriko yako hayatoizuia Arsenal kuchukua EPL.. kaa kwa kutulia.Nyie ndio mmekojolewa huko na everton
Endelea na uchambuzi Gary Neville, sisi tupo kileleni.Arsenal Ina average players wengi ambao wanapata matokeo kwa kutumia spirit waliyonayo sasa.
Nketiah, Zinchenko sio wachezaji wa kuwa kwenye 1st eleven ya timu inayotaka ubingwa.
Pia wanamakosa mengi sana ambayo huwa yanapelekea kucreat chances za wao kufungwa.
Uwezekano wa wao kupoteana kwenye mbio za ubingwa ni mkubwa sana, na hata ikitokea wamechukua, hawana consistency ya kuwafanya next season wa compete for title
Chances za wao kufungwa? Arsenal kapoteza mechi ya pili juzi.Arsenal Ina average players wengi ambao wanapata matokeo kwa kutumia spirit waliyonayo sasa.
Nketiah, Zinchenko sio wachezaji wa kuwa kwenye 1st eleven ya timu inayotaka ubingwa.
Pia wanamakosa mengi sana ambayo huwa yanapelekea kucreat chances za wao kufungwa.
Uwezekano wa wao kupoteana kwenye mbio za ubingwa ni mkubwa sana, na hata ikitokea wamechukua, hawana consistency ya kuwafanya next season wa compete for title
Ndoo tunabebaHahahah potelea mbali, lakini hambebi ndoo
Nipe msimamoNyuzi za hivi zimekua nyingi sana humu Jf.
Haya mateso yaendelee. Arsenal on top.View attachment 2498361
Nasema hambebiNdoo tunabeba
Mimi au weweUtapata tabu sana mwaka huu
Man city amekubaka barazani kwakoKwa hiyo wakati Arsenal anadondosha alama kwenye hizo mechi 6 huyo Man city atakuwa anashinda mechi zote? Hatadondosha alama?
Na BTW hizo timu zote ulizotaja hakuna yenye uwezo wa kumfunga Arsenal. Tuna ushahidi wa walichofanywa round ya kwanza.
Na kama ungefanya tathmini kwa kutulia utaelewa kuwa kwa kutolewa kwenye hayo mashindano mengine ni fursa zaidi kwa Arsenal kuweka nguvu kubwa kwenye ligi wakati wengine wakiwa na mzigo wa mechi nyingi.
Akupe akupe hahahNipe msimamo