Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
Wigo wa point umeogezeka, endeleeni kupiga dua la mwewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeanza kuaminiBaada ya kutolewa kwenye FA Cup, Carabao, nimekaa nikawaza nikaona ni kombe gani Arsenal anaweza kutwaa nimeshindwa kuona.
Arsenal kabaki kwenye michuano ya Europa League na EPL.
Europa hawezi kutoboa akijitahidi sana robo fainali.
EPL ndio kabisa hawezi kutwaa akijitahidi sana nafasi ya pili. Arsenal anaongoza ligi lakini bado hajacheza mechi mbili dhidi ya Man City. Bado ana mechi na Chelsea, Liverpool, West Ham na Brighton naamini huko kote atadondosha alama.
Hivyo nahitimisha kuwa Arsenal hatoshinda kombe lolote na atakuwa hana tofauti na timu kama Leeds United au Aston Villa.
West Ham pambaneni msishuke daraja
Unaota wwHamtaamini Man City anaenda kusumbuliwa na Leicester ana droo halafu tuna level gap linarudi kama mwanzo
Taji la city hili mkuuuuKama wameshindwa kupata point huko usijtarajie hapo kwa Arseanal
ARSENAL HATOBOI POINTI 90 ATAISHI 89 TUArsenal bado ana safari ya kwenda Etihad, St. James Park 😂😂😂
Umekula lakini?Hamtaamini Man City anaenda kusumbuliwa na Leicester ana droo halafu tuna level gap linarudi kama mwanzo