Unpopular Opinion: Arsenal hatoshinda taji lolote msimu huu

Unpopular Opinion: Arsenal hatoshinda taji lolote msimu huu

Baada ya kutolewa kwenye FA Cup, Carabao, nimekaa nikawaza nikaona ni kombe gani Arsenal anaweza kutwaa nimeshindwa kuona.

Arsenal kabaki kwenye michuano ya Europa League na EPL.

Europa hawezi kutoboa akijitahidi sana robo fainali.

EPL ndio kabisa hawezi kutwaa akijitahidi sana nafasi ya pili. Arsenal anaongoza ligi lakini bado hajacheza mechi mbili dhidi ya Man City. Bado ana mechi na Chelsea, Liverpool, West Ham na Brighton naamini huko kote atadondosha alama.

Hivyo nahitimisha kuwa Arsenal hatoshinda kombe lolote na hatakuwa hana tofauti na timu kama Leeds United au Aston Villa.
Sawa
 
Kuchukua ubingwa na city haimaanishi yeye sio average player. Timu ikiwa nzuri, mchezaji mbovu anazibwa na timu. Zinchenko ni average player mkuu
Mbona amekuja Arsenal bado ana perform vizuri?
 
Anajizima data tu... Arsenal hana mechi kwenye mashindano mengine hivyo ataweza kufocus zaidi kwenye Ligi. Man City hawezi kumfunga Arsenal mechi 2..... Yaani timu yake imepasuliwa halafu anaamini wengine hawatapasuka vibaya.
Mkuu habari ya huko ulipo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mbona amekuja Arsenal bado ana perform vizuri?
Mkuu kunatofauti kati ya team player na world class player. Zinchenko ni team player, na sio world class player.

Mfano mdogo, mcheki pia Nketiah, Siunaona anaperfom kwenye timu yenu. World class player anaweza kusimama on his own, regardless form ya timu.

Form ya timu, na spirit ambayo imewaingia wachezaji, ndio inawadrive vile.
 
Baada ya kutolewa kwenye FA Cup, Carabao, nimekaa nikawaza nikaona ni kombe gani Arsenal anaweza kutwaa nimeshindwa kuona.

Arsenal kabaki kwenye michuano ya Europa League na EPL.

Europa hawezi kutoboa akijitahidi sana robo fainali.

EPL ndio kabisa hawezi kutwaa akijitahidi sana nafasi ya pili. Arsenal anaongoza ligi lakini bado hajacheza mechi mbili dhidi ya Man City. Bado ana mechi na Chelsea, Liverpool, West Ham na Brighton naamini huko kote atadondosha alama.

Hivyo nahitimisha kuwa Arsenal hatoshinda kombe lolote na atakuwa hana tofauti na timu kama Leeds United au Aston Villa.
Nilisema na ntaendelea kusema, Arsenal habebi taji lolote hata hilo la EPL atawaachia Man City punde...
 
Arsenal anaenda kutwaa EPL, ingawa haikuwa moja ya objective yake zaidi ya kuhakikisha timuinafudhu UCL.

Hadi sasa kwa hatua iliyofikia ni bonasi.

Arteta amefanya kazi kubwa sana, nadhani kwa msimu ujao Arsenal itaanza kuwekwa kama timu shindani za ubingwa.

Wengi mnaitazama sasa, ila analysis nzuri ni ile iliyofanywa kabla ya mashindano kuanza. Hii timu haikupewa nafasi iliyonayo leo.

Imekuwa ni surprise kwa wapinzani. Hata kuchukua huu ubingwa itakuwa bado ni surprise kwa wapinzani, ingawa kwa mahabiki wake walikuwa na imani hiyo.
 
Back
Top Bottom