Unpopular Opinion: Arsenal hatoshinda taji lolote msimu huu

Unpopular Opinion: Arsenal hatoshinda taji lolote msimu huu

Kwa hiyo wakati Arsenal anadondosha alama kwenye hizo mechi 6 huyo Man city atakuwa anashinda mechi zote? Hatadondosha alama?

Na BTW hizo timu zote ulizotaja hakuna yenye uwezo wa kumfunga Arsenal. Tuna ushahidi wa walichofanywa round ya kwanza.

Na kama ungefanya tathmini kwa kutulia utaelewa kuwa kwa kutolewa kwenye hayo mashindano mengine ni fursa zaidi kwa Arsenal kuweka nguvu kubwa kwenye ligi wakati wengine wakiwa na mzigo wa mechi nyingi.
Sawa
 
Eti naamini atadondokea pua. Yaani mpira inafanya analysis kwa kuamini? Endelea kuamini wenzio haoambao hawajacheza na arsenal hii walishaachana na imani, isipokuwa kila waliiangalia Arsenal ilivyo composed wanaishia kukubali huu ni mwaka wao na hakuna miujiza
Kweli kabisa wapo composed mnoo.
 
Mi Liver ila natamani ManCity nae awe wa pili
Inakera sana kila siku mshindi yuleyule

Waache wabebe tu, wanastahili...

Ukiacha Arsenal hakuna timu imesumbua kichwa cha City msimu huu wa ligi...
 
Anajizima data tu... Arsenal hana mechi kwenye mashindano mengine hivyo ataweza kufocus zaidi kwenye Ligi. Man City hawezi kumfunga Arsenal mechi 2..... Yaani timu yake imepasuliwa halafu anaamini wengine hawatapasuka vibaya.
City hii hii ambayo imekunda mechi 20 mfululizo au kuna nyingine
 
Back
Top Bottom