Unpopular Opinion: Arsenal hatoshinda taji lolote msimu huu

Baada ya kutolewa kwenye FA Cup, Carabao, nimekaa nikawaza nikaona ni kombe gani Arsenal anaweza kutwaa nimeshindwa kuona.

Arsenal kabaki kwenye michuano ya Europa League na EPL.

Europa hawezi kutoboa akijitahidi sana robo fainali.

EPL ndio kabisa hawezi kutwaa akijitahidi sana nafasi ya pili. Arsenal anaongoza ligi lakini bado hajacheza mechi mbili dhidi ya Man City. Bado ana mechi na Chelsea, Liverpool, West Ham na Brighton naamini huko kote atadondosha alama.

Hivyo nahitimisha kuwa Arsenal hatoshinda kombe lolote na atakuwa hana tofauti na timu kama Leeds United au Aston Villa.
Mwamba huyu hapa
 
Kwa hiyo wakati Arsenal anadondosha alama kwenye hizo mechi 6 huyo Man city atakuwa anashinda mechi zote? Hatadondosha alama?

Na BTW hizo timu zote ulizotaja hakuna yenye uwezo wa kumfunga Arsenal. Tuna ushahidi wa walichofanywa round ya kwanza.

Na kama ungefanya tathmini kwa kutulia utaelewa kuwa kwa kutolewa kwenye hayo mashindano mengine ni fursa zaidi kwa Arsenal kuweka nguvu kubwa kwenye ligi wakati wengine wakiwa na mzigo wa mechi nyingi.
Sema haki ya nani
 
Baada ya kutolewa kwenye FA Cup, Carabao, nimekaa nikawaza nikaona ni kombe gani Arsenal anaweza kutwaa nimeshindwa kuona.

Arsenal kabaki kwenye michuano ya Europa League na EPL.

Europa hawezi kutoboa akijitahidi sana robo fainali.

EPL ndio kabisa hawezi kutwaa akijitahidi sana nafasi ya pili. Arsenal anaongoza ligi lakini bado hajacheza mechi mbili dhidi ya Man City. Bado ana mechi na Chelsea, Liverpool, West Ham na Brighton naamini huko kote atadondosha alama.

Hivyo nahitimisha kuwa Arsenal hatoshinda kombe lolote na atakuwa hana tofauti na timu kama Leeds United au Aston Villa.
Arsenal ni team ya LAANA tunaipenda na kuifuatilia reason kubwa tumetoka nayo since 90s but kiukweli imepata LAANA huu utabiri wako kwangu mimi ni jambo ambalo ni la kawaida tu hakuna kipya juu ya Arsenal
 
Baada ya kutolewa kwenye FA Cup, Carabao, nimekaa nikawaza nikaona ni kombe gani Arsenal anaweza kutwaa nimeshindwa kuona.

Arsenal kabaki kwenye michuano ya Europa League na EPL.

Europa hawezi kutoboa akijitahidi sana robo fainali.

EPL ndio kabisa hawezi kutwaa akijitahidi sana nafasi ya pili. Arsenal anaongoza ligi lakini bado hajacheza mechi mbili dhidi ya Man City. Bado ana mechi na Chelsea, Liverpool, West Ham na Brighton naamini huko kote atadondosha alama.

Hivyo nahitimisha kuwa Arsenal hatoshinda kombe lolote na atakuwa hana tofauti na timu kama Leeds United au Aston Villa.
Acha kuongea issue za Ukweli Jf utapimwa mkojo
 
1682629979178.jpg
 
Baada ya kutolewa kwenye FA Cup, Carabao, nimekaa nikawaza nikaona ni kombe gani Arsenal anaweza kutwaa nimeshindwa kuona.

Arsenal kabaki kwenye michuano ya Europa League na EPL.

Europa hawezi kutoboa akijitahidi sana robo fainali.

EPL ndio kabisa hawezi kutwaa akijitahidi sana nafasi ya pili. Arsenal anaongoza ligi lakini bado hajacheza mechi mbili dhidi ya Man City. Bado ana mechi na Chelsea, Liverpool, West Ham na Brighton naamini huko kote atadondosha alama.

Hivyo nahitimisha kuwa Arsenal hatoshinda kombe lolote na atakuwa hana tofauti na timu kama Leeds United au Aston Villa.
Arsenal leo kibaruani dhidi ya Chelsea...mechi za dizaini hii usishangae droo
 
Back
Top Bottom