Unpopular Opinion: Arsenal hatoshinda taji lolote msimu huu

Nyuzi za hivi zimekua nyingi sana humu JF.

Haya mateso yaendelee. Arsenal on top.View attachment 2498361
A03BD9C2-1FD1-42E1-A679-11F502F9C9E9.jpeg
 
Ila kuna watu mnajua utabiri wa kuwaombea wenzenu mabaya tu, ila utabiri wa kusema kama mvua zitanyesha wakulima walime wavune tupate chakula hamuujui..
Alafu Meteorologist wafanye kazi gani?
 
Kwa hiyo wakati Arsenal anadondosha alama kwenye hizo mechi 6 huyo Man city atakuwa anashinda mechi zote? Hatadondosha alama?

Na BTW hizo timu zote ulizotaja hakuna yenye uwezo wa kumfunga Arsenal. Tuna ushahidi wa walichofanywa round ya kwanza.

Na kama ungefanya tathmini kwa kutulia utaelewa kuwa kwa kutolewa kwenye hayo mashindano mengine ni fursa zaidi kwa Arsenal kuweka nguvu kubwa kwenye ligi wakati wengine wakiwa na mzigo wa mechi nyingi.
Tuliwaonya lkn hamkusikia.
 
Baada ya kutolewa kwenye FA Cup, Carabao, nimekaa nikawaza nikaona ni kombe gani Arsenal anaweza kutwaa nimeshindwa kuona.

Arsenal kabaki kwenye michuano ya Europa League na EPL.

Europa hawezi kutoboa akijitahidi sana robo fainali.

EPL ndio kabisa hawezi kutwaa akijitahidi sana nafasi ya pili. Arsenal anaongoza ligi lakini bado hajacheza mechi mbili dhidi ya Man City. Bado ana mechi na Chelsea, Liverpool, West Ham na Brighton naamini huko kote atadondosha alama.

Hivyo nahitimisha kuwa Arsenal hatoshinda kombe lolote na atakuwa hana tofauti na timu kama Leeds United au Aston Villa.
Uzi wangu bora wa michezo kwa mwaka 2023
 
Vipi msimu huu?
 
The story continues…
 
Back
Top Bottom