Jaluo_Nyeupe
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 2,824
- 2,264
Aisee! Kuna ukweli fulani hapa.Daah[emoji1787]
Hahahahaha,muhasibuMimi ndio nasikia humu kama kuna week ya Uto
ππππMana kwanza ncheke. Kuna timu bado siku tatu inacheza kwenye siku yao na wachezaji muhimu hata hawajulikani wapo hai ama wamekufa maana kambini hawapo na mtaa ni hawaonekani. Bangala anatafutwa, Shabani Djuma amepotea, Jigi jiara haeleweki, Aucho simu imeisha chaji, Azizi Ki kawaambia hatii pua yake kambini mpaka wammalizie pesa yake ya usajiri vinginevo watafikishana mbali, na mbaya zaidi anajuta kwanini hakwenda kucheza simba club inayojielewa.. Yaani tafrani tuu.
Yanga SC bingwa wewe upo nafasi ya 3Mana kwanza ncheke. Kuna timu bado siku tatu inacheza kwenye siku yao na wachezaji muhimu hata hawajulikani wapo hai ama wamekufa maana kambini hawapo na mtaa ni hawaonekani. Bangala anatafutwa, Shabani Djuma amepotea, Jigi jiara haeleweki, Aucho simu imeisha chaji, Azizi Ki kawaambia hatii pua yake kambini mpaka wammalizie pesa yake ya usajiri vinginevo watafikishana mbali, na mbaya zaidi anajuta kwanini hakwenda kucheza simba club inayojielewa.. Yaani tafrani tuu.
Aliongea kidhakunaku sana sijui huko aliko ana hali ganiYanga SC bingwa wewe upo nafasi ya 3
Hapo mwisho kamalizia "yani tafrani tuu"SA sijui tafrani iko wapi!?ππππ
Anapata tabu sana huyo ππ na timu yake mbovu sana ππ€£Aliongea kidhakunaku sana sijui huko aliko ana hali gani
Fanya mpango ukaoge maji ya baharini una nuksiMimi ndio nasikia humu kama kuna week ya Uto
Pasi million ππHivi huyu hawezi kuwa yule jamaa mwenye kofia lefu kweli!?
Hiki kibegi kilizimika kama mshumaa! Nyokooooo!ππππππSimba Sports mwaka huu wamekuja tofauti. Jezi zao zinazinduliwa kileleni kwenye Mlima Kilimanjaro ijumaa wiki hii.
Sasa jezi hizo zimewekwa kwenye kibegi na amepewa Ahmed Ally kusafiri nacho kwa ndege kutoka Dar kwenda Kilimanjaro. Kila anapopita vibe ni kubwa na watu wanaomba wapige nae picha.
Kibegi kimekuwa kikifatiliwa mitandaoni kuliko taarifa za wiki ya wananchi na ule usajili wa namba 6.
Hakika Simba nimewavulia kofia, natamani timu yangu ya Namungo iige hii.
View attachment 2692732
View attachment 2692733View attachment 2692734
Lazima atakuwa pasi milioni jamaa walilipwa kushangilia kwa nguvu game ya DodomaPasi million ππ
Hao ndio dizaini ya watu wakina Mwamedi,Ngungus Boy na Jaribu Tena wanaowataka.Kwenye hii thread unaweza kujionea wapumbavu ni akina nani? Kipimo cha upumbavu kilijidhihirisha humu siku nyingi wakati wa kibegi.
Hahahahaha...uko sahihi..jamaa ni wapumbavu wakutupwq kabisaKwenye hii thread unaweza kujionea wapumbavu ni akina nani? Kipimo cha upumbavu kilijidhihirisha humu siku nyingi wakati wa kibegi.
Hahahahaha sasa jiulize kama JF unawapata hawa ,je ktk hizo platforms zingine kuna mbumbumbu kiasi gani? Vipi huko mtaani wamejaa kiasi? Na ndio maana mtu akisema kuna umbumbumbu na mbumbumbu wapo huwa tunamaanishaHao ndio dizaini ya watu wakina Mwamedi,Ngungus Boy na Jaribu Tena wanaowataka.
Haya maneno Leo yanakuhukum.Mana kwanza ncheke. Kuna timu bado siku tatu inacheza kwenye siku yao na wachezaji muhimu hata hawajulikani wapo hai ama wamekufa maana kambini hawapo na mtaa ni hawaonekani. Bangala anatafutwa, Shabani Djuma amepotea, Jigi jiara haeleweki, Aucho simu imeisha chaji, Azizi Ki kawaambia hatii pua yake kambini mpaka wammalizie pesa yake ya usajiri vinginevo watafikishana mbali, na mbaya zaidi anajuta kwanini hakwenda kucheza simba club inayojielewa.. Yaani tafrani tuu.