Unpopular Opinion: Kibegi cha jezi za Simba kimefunika kelele zote za Yanga kuanzia Wiki ya Mwananchi hadi Usajili wao

Mana kwanza ncheke. Kuna timu bado siku tatu inacheza kwenye siku yao na wachezaji muhimu hata hawajulikani wapo hai ama wamekufa maana kambini hawapo na mtaa ni hawaonekani. Bangala anatafutwa, Shabani Djuma amepotea, Jigi jiara haeleweki, Aucho simu imeisha chaji, Azizi Ki kawaambia hatii pua yake kambini mpaka wammalizie pesa yake ya usajiri vinginevo watafikishana mbali, na mbaya zaidi anajuta kwanini hakwenda kucheza simba club inayojielewa.. Yaani tafrani tuu.
😂😂😂😂
 
Yanga SC bingwa wewe upo nafasi ya 3
 
Simba Sports mwaka huu wamekuja tofauti. Jezi zao zinazinduliwa kileleni kwenye Mlima Kilimanjaro ijumaa wiki hii.

Sasa jezi hizo zimewekwa kwenye kibegi na amepewa Ahmed Ally kusafiri nacho kwa ndege kutoka Dar kwenda Kilimanjaro. Kila anapopita vibe ni kubwa na watu wanaomba wapige nae picha.

Kibegi kimekuwa kikifatiliwa mitandaoni kuliko taarifa za wiki ya wananchi na ule usajili wa namba 6.

Hakika Simba nimewavulia kofia, natamani timu yangu ya Namungo iige hii.
View attachment 2692732
View attachment 2692733View attachment 2692734
Hiki kibegi kilizimika kama mshumaa! Nyokooooo!😁😁😁😄😄😄
 
Hao ndio dizaini ya watu wakina Mwamedi,Ngungus Boy na Jaribu Tena wanaowataka.
Hahahahaha sasa jiulize kama JF unawapata hawa ,je ktk hizo platforms zingine kuna mbumbumbu kiasi gani? Vipi huko mtaani wamejaa kiasi? Na ndio maana mtu akisema kuna umbumbumbu na mbumbumbu wapo huwa tunamaanisha
 
Mana kwanza ncheke. Kuna timu bado siku tatu inacheza kwenye siku yao na wachezaji muhimu hata hawajulikani wapo hai ama wamekufa maana kambini hawapo na mtaa ni hawaonekani. Bangala anatafutwa, Shabani Djuma amepotea, Jigi jiara haeleweki, Aucho simu imeisha chaji, Azizi Ki kawaambia hatii pua yake kambini mpaka wammalizie pesa yake ya usajiri vinginevo watafikishana mbali, na mbaya zaidi anajuta kwanini hakwenda kucheza simba club inayojielewa.. Yaani tafrani tuu.
Haya maneno Leo yanakuhukum.
 
Back
Top Bottom