Hii ni habari njema sana kwa kila mpenda haki, usawa, uhuru au demokrasia.
Kwamba, bunduki zinyamaze sasa. Kila mtu akazike wafu wake, wafungwa wabadilishwe ya kuwa somo kila mtu kajifunza:
Nani mwenye ubavu wa kupiga veto leo?
Kwani nani hana kumbukumbu za mateka wale watu? Vipi shinikizo tokea kwa raia kote duniani? Nani asiyejua kunako masikilizano ni kweli mateka walikuwa wanaachiliwa tena salama na vijibwa vyao?
Kwamba yupo asiyejua suluhu ilipo?
Kwa hakika hata Natenyahu na Joe Biden wanajua vyema, na pasi na shaka.
Eh mola wetu wewe ndiye uliye mkuu, busara ikatamalaki dhidi ya ufwedhuli wa kibinadamu.