UNSERIOUSNESS IN RELATIONS!....i hate it lots

Kwa sababu hawana miyoyo ya kuhimili mikiki kama wanawake. Nivizuri pia na wao wapewe hiyo mikiki karne hii ili waeze kuhimili pia. Nadhani wataanza pia kuishi maisha marefu kama wanawake.
 
....nimekutafuta sana comrade, au ndo unaamka? homu boi hapa naona kama vile anatukana mamba vile wakati anatakiwa aende upande wapili na hakuna daraja.....ha!ha!ha!ha!....well said mzee wa Emirates!
 
....nimkutafuta sana comrade, au ndo unaamka? homu boi hapa naona kama vile anatukana mamba vile wakati anatakiwa aende upande wapili na hakuna daraja.....ha!ha!ha!ha!....well said mzee wa Emirates!

...we muache tu!

....akikoswa kswa na mamba, kuna viboko, kama sio viboko kuna mkondo, akikoswa koswa na yote japo tope litamtoa nishai.

...all in all mimi namuombea kila la kheri na huo 'mto', keshakunja suruali lazima avuke sasa.....
 
katika ile 30% mimi nipo pia, one of the most serious MAN come sun come rain. my wife is a place where I will always get relief and not otherwise. UPENDO tuu ndio Dawa yake, Kila la kheri G!, ningekuwa mitaa hiyo ningehudhuria tukio lako la kupata mweza, Mungu akutangulie bro1
 
Kwa sababu hawana miyoyo ya kuhimili mikiki kama wanawake. Nivizuri pia na wao wapewe hiyo mikiki karne hii ili waeze kuhimili pia. Nadhani wataanza pia kuishi maisha marefu kama wanawake.

...si unaona sasa?

...no wonder mtu unaoa na nywele kichwani lkn baada ya miezi sita tu kipara kinaota, wengine mvi kichwani wala umri bado....

YES!....i hate it,i hate it so much

70%-of men involved in SERIOUS RELATIONSHIPS ARE NOT SERIOUS!.....ndio,lazima tuelezane ukweli

Nakushukuru sana kwa kuwa mkweli..hapa wanaume wala tusijitete ukweli ndio huo tunaobisha basi sisi wachawi
 
...si unaona sasa?

...no wonder mtu unaoa na nywele kichwani lkn baada ya miezi sita tu kipara kinaota, wengine mvi kichwani wala umri bado....

wengina hapo wanasema enhee...unaona anavojua kutunza, mzee hadi kipara sasa maana busara zinaongezeka...wapi! matatizo tu!
 
wengina hapo wanasema enhee...unaona anavojua kutunza, mzee hadi kipara sasa maana busara zinaongezeka...wapi! matatizo tu!

Mzee hebu mpe breki kidogo kwani kakubali kupumzika mwenyewe kabla ya kupigwa ban. Mshikaji akishamaliza projekti tutakaa tumsikilize. Bilivu me, lugha haitakuwa hiyo. Tunaokamilisha decade tumeshayaona mengi. The good news ni kuna raha nyingi kuliko karaha, ingawa hizo karaha kidogo zinahitaji roho ya paka kukabiliana nazo. Hayo mawimbi ya wadau wetu siyo ya kubeza.
 
hahaha mkuu DC nimekusoma. Kuna raha kweli kuliko karaha hasa kwa wale tunaoamini hivyo.

Huyu wetu tu tunampa muda. uzuri NL kasema anamsevia kwenye flash disk siku ya anniversary ya jubilei yamwaka mmoja basi tunamsomea kama risala ya wapwaz na mabinamuz....kisha tutamwomba aijibu!
 
Ni poa sana ila tusimtishe. 13/2 anaweza kujikuta anapata mental block na kutema mzigo mbele ya kasisi. Kwa sasa tumwambie tu kwamba mambo yooote ni mswano kama kuangalia mwisho wa bahari!!! Yeye mwenyewe atakuja kutujuvya tu hata kwa PM. Pia tumwombee, malengo yake ni mazuri sana hata kama yataishia kuwa kama Ujamaa wa Nyerere!!
 
hapa wanaume wala tusijitete ukweli ndio huo tunaobisha basi sisi wachawi

.....ukweli upi sasa? tunachosema hapa kny ndoa kuna ups and downs, zipo raha nyingi sana na karaha....not always zinasbabishwa na mwanaume kutokuwa serious..... mzee!

wengina hapo wanasema enhee...unaona anavojua kutunza, mzee hadi kipara sasa maana busara zinaongezeka...wapi! matatizo tu!
....yaani umekumbusha mzee mmoja teacher, yaani alivokuwa anapelekeshwa na bibie....sidhani kama atakuwa hai leo hii....kichwani mvit tupu....kitambi hicho....but....???

...umefanya ze needful kumshauri akavute pumzi.....tena anatakiwa afanye mfungo kabisa...retreat kabla ya tukio aiseeeee!

....daaah DC upande ulioamkia leo.....hiyo blue ni PWENTI tupu, tayari imeshajaladiwa hii.......! GP ameshamwonya asibadili ID........!

Geoff... Big up. Mbona umpotezee muda na kumchezea mtoto wa watu? Infact jamaa wa aina hiyo huwa wanapata good babes halafu they play games with their hearts.

Ndo maana sasa hivi I believe in Turner's song ...whats love got to do with it, when infact a heart can be broken?

Heeh x-factor unajijua I dedicate this thread to youuuuuuuuu...................
 
...si unaona sasa?

...no wonder mtu unaoa na nywele kichwani lkn baada ya miezi sita tu kipara kinaota, wengine mvi kichwani wala umri bado....
Sawa babaa,

Na nini hasa kinawapelekea kunyonyoka hiso ndefu vichwani mwao kama sio miyoyo legefu! Mbona zetu hazikati sinasidi kurefuka aiseee.
 
Sawa babaa,

Na nini hasa kinawapelekea kunyonyoka hiso ndefu vichwani mwao kama sio miyoyo legefu! Mbona zetu hazikati sinasidi kurefuka aiseee.

......nyie huwa mahitaji just ''Security'' in life......zaidi hiyo hamna shida kabisa, hamtaki makuu.....!
 
......nyie huwa mahitaji just ''Security'' in life......zaidi hiyo hamna shida kabisa, hamtaki makuu.....!
Hapo umenena wangu...lakini mbona hata hiyo security yenywe siku hizi inaonekana kupotelea kwa small houses! na bado sie tumo tuu. I think here our security master is only "Jesus Christ" kwa wenye imani kama yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…