Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,626
Mkuu kwa hili ni kweli kabisa... hizi ni dakika za majeruhi na cha maana ni wewe ku-calm down!!! jichukulie kama unaoa mkeo vile halafu utaona mambo yalivyo rahisi
the most difficult part ya ndoa ni pale mnapoandaa mambo, vitu kama utambulisho, posa, kupanga dates nk. lakini kwa sasa hata iweje omba uzima utashangaa mambo yanavyokwenda
I am certain kwamba utaona tambarare
Umeshaanza likizo?
Hata mimi simwelewi. Nilijua naye atakaa ndani kama mwezi aweze kupumzisha kichwa, lakini yeye bado tu amening'inia kwenye PC. Hizi hadithi zipo nyingi tu, na nyingine hii hapa (https://www.jamiiforums.com/mahusia...47-wanaume-na-wasichana-wa-kazi-za-ndani.html). Atazikuta tu!
