Until you love somebody😍😍

Ukute mleta huu uzi ndio akawa mmoja Kati ya mabikra zako huko mbingun [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Babyfancy acha ukorofi basi☺☺☺
 
Ati niache kusema ukweli? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nakuona vile unatype huku wine inafanya yake kichwani😍😍
Usiku mwema baby
 
Waislamu mnapigwa kamba sana huko misikitini
 
Fanya maisha yako ufurahie ukiwa hai. Hayo ya baadae mbinguni yana taratibu zake
Ukumbuke kule hatuendi na mwili ila roho

Wacha tuendelee kufurahia uwepo wetu duniani

Ila mimi kinachoniumiza na kunishangaza yani kwamba yule mdhambi kwelikweli anaweza akatubu dakika ya tisini anapokufa na akasemehewa kabisa na mbinguni akaingia. Ila huyu mwingine mlokole kabisaaaa maisha yake yote yoteee siku anakufa akasahau kutubu anaenda motoni kweeeli? Kwamba mbingu haina huruma kiasi hicho? Sasa kama ni hivyo si bora hata mahakamani unaweza toboa.😅😅😅
 

Mungu atusaidie tusitende dhambi, na ikitokea atupe muda ya toba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…