Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ati niache kusema ukweli? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Babyfancy acha ukorofi basi[emoji5][emoji5][emoji5]
Kwako pia momNakuona vile unatype huku wine inafanya yake kichwani[emoji7][emoji7]
Usiku mwema baby
Waislamu mnapigwa kamba sana huko misikitiniHuko ni mbinguni kwenu ambako hamtaoa wala kuolewa.
Sisi upande wa pili mbinguni kwetu tutapewa mabikira sabini na mbili, isitoshe tumeahidiwa tutapewa mjegejo wenye nguvu na mrefu kuzidi huu wa sasa, ili kuwaridhisha hao mabikira wote sabini na mbili.
Fanya maisha yako ufurahie ukiwa hai. Hayo ya baadae mbinguni yana taratibu zake
Ukumbuke kule hatuendi na mwili ila roho
Wacha tuendelee kufurahia uwepo wetu duniani
Siyo wabishi wana uwezo wa kureason.Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Ila mimi kinachoniumiza na kunishangaza yani kwamba yule mdhambi kwelikweli anaweza akatubu dakika ya tisini anapokufa na akasemehewa kabisa na mbinguni akaingia. Ila huyu mwingine mlokole kabisaaaa maisha yake yote yoteee siku anakufa akasahau kutubu anaenda motoni kweeeli? Kwamba mbingu haina huruma kiasi hicho? Sasa kama ni hivyo si bora hata mahakamani unaweza toboa.😅😅😅