Until you love somebody😍😍

Until you love somebody😍😍

Huko ni mbinguni kwenu ambako hamtaoa wala kuolewa.

Sisi upande wa pili mbinguni kwetu tutapewa mabikira sabini na mbili, isitoshe tumeahidiwa tutapewa mjegejo wenye nguvu na mrefu kuzidi huu wa sasa, ili kuwaridhisha hao mabikira wote sabini na mbili.
[ccZero IQ wewe hutaki mabikira [emoji23][emoji23]
 
Nipe elimu kidogo hapa mkuu.

Kwa imani yangu mimi manual ni kubwa na pana sana

Ila kwa swala la kupenda, kupendwa na kupendana iko wazi kabisa

1 Wakorinto 7: 2 - 5

"Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe.
Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake.
Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe.
Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena, Shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu."
 
Asanthe kwa ujumbe. Lakini ninapata ugumu na matumizi ya neno manual.
 
Hahahaha soma na hiyo

Mathayo 22: 23 - 32
Siku ile Masadukayo, watu wasemao ya kwamba hakuna kiyama, wakamwendea, wakamwuliza, wakisema; Mwalimu, Musa alisema, Mtu akifa, akiwa hana watoto, ndugu yake na amwoe yule mkewe, ili ampatie nduguye mzao.
Basi, kwetu kulikuwa na ndugu saba; wa kwanza akaoa, akafariki, na kwa kuwa hana mzao, akamwachia nduguye mke wake.
Vivyo hivyo wa pili naye, na wa tatu, hata wote saba. Mwisho wa wote yule mwanamke akafa naye.
Basi, katika kiyama, atakuwa mke wa yupi katika wale saba? Maana wote walikuwa naye.
Yesu akajibu, akawaambia, Mwapotea, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu.
Kwa maana katika kiyama hawaoi wala hawaolewi, bali huwa kama malaika mbinguni.
Tena kwa habari ya kiyama ya watu, hamjalisoma neno lililonenwa na Mungu, akisema,
Mimi ni Mungu wa Ibrahimu, na Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo? Mungu si Mungu wa wafu, bali wa walio hai.
Na makutano waliposikia, walishangaa kwa mafunzo yake.
 
Sawa mbinguni hamna kuoa/kuelewa katika ile miaka buku. But baada ya kurejea duniani things will get back to normal.
 
Yani siku hizi ukiwa timamu alafu hauna hela ukidadavua mapenzi vizuri unaona ni kama kujitesa hivi

Hiyo ndio tabia ya wanaume timamu wenye kujua majukumu ya kiume. Huwa hawatafuti mapenzi wakiwa na stress ya mali na pesa ila wakishazipata.
Hata zamani za mababu enzi za ndoa za kimila wanaume waliokua na mali na machief ndio waliokua na uwezo wa kuwa na wake zaidi ya mmoja
Sasa hivi wakati hawa wanalia kwamba wanawake ni gharama sana kuwa nao na kuwaogopa kabisa sababu eti wanataka pesa kupendeza na kufurahi; wale timamu wanatafuta pesa halafu wanatafuta na mwanamke watakaye mtunza kwa kutumia hizo pesa
 
Dah!
 
Binafsi am 22yrs na nko stage flan nawaza namna gan natoboa aiseeh yani ni kama sina ladha kabisa na mapenzi siku hizi..

Nayataka na natamani niwe na manzi lakini sasa nkiwaza tena upya dah yani nipo kama sipo
 
Wewe unajielewa sana.
Mwanaume yoyote mbeba majukumu akiwa hajafikia malengo ya maisha appetite huwa inapotea
 
Huko ni mbinguni kwenu ambako hamtaoa wala kuolewa.

Sisi upande wa pili mbinguni kwetu tutapewa mabikira sabini na mbili, isitoshe tumeahidiwa tutapewa mjegejo wenye nguvu na mrefu kuzidi huu wa sasa, ili kuwaridhisha hao mabikira wote sabini na mbili.
😂😂😂
 
Ukute mleta huu uzi ndio akawa mmoja Kati ya mabikra zako huko mbingun [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
" Love is a promise, love is a souvenir, once given never forgotten, never let it disappear" - John Lennon
 
Kwakweli ubarikiwe baraka za kujazwa na kusukwasukwa my Asprin

Tuendelee na mapumziko

Hiyo "my Asprin" nimeihifadhi moyoni kwa ajili ya matumizii ya baadae

Tubarikiwe sote mama D wangu
 
Back
Top Bottom