Rockaboy EA
Member
- Aug 25, 2017
- 6
- 7
"UNTOLD BITTER TRUTH ABOUT 'HALLELUJAH' BY DIAMOND PLATINUMZ.
Karibu tuandike Within principles, Karibu to-unlock the locked story about "Hallelujah.
VIDEO.
This is unlock-truth about "Halleluja. Napenda kua-appreciate ukubwa wa Video hasa kubadilika kwa locations na rangi za Video, Director Moe Musa ameweza kumtoa Diamond "Ulimbukeni na Ushamba" wa kuamini kuwa Video kali ni maferari na majumba makali tu.
AUDIO.
ninaipa 20% tu sababu haina ubunifu wowote zaidi ya kucop melody na vitu vingi kutoka kwenye MashUp ya [HASHTAG]#Myheart[/HASHTAG] ya Diamond & @casspernyovest. Yes ! So kwa kadri navyosikiliza najikuta naimba ile mashup ya Coke Studio, Bila uwepo wa Heritage basi pengine hapa kusingekuwa na kitu kipya kabisa. Hii ni wazi kuwa huenda kipawa cha Mondy cha kushusha mawe mapya kinefikia tamati, ni wakati sasa aanze kuangalia namna ya kupata mtu wa kumsaidia kutunga tungo kali kama za zamani, haiwezi kuwa ajabu kwani tumeona wasanii wengi wakifanya hivi na kure-new their lost glory.
RECORD YOUTUBE. Kwanza hapa inatakiwa tuelewe kwamba, Diamond hayupo vevo kwahyo records yoyote itakayozungumziwa basi tupambanisha na records za Artists waliopo [HASHTAG]#Youtube[/HASHTAG] tu, Hivyo Diamond hajavunja record ya @officialalikiba sababu videos zao zipo channel tofauti, kupambanisha [HASHTAG]#Youtube[/HASHTAG] na [HASHTAG]#Vevo[/HASHTAG] huko ni kujitoa ufahamu.
LASTLY: Unaweza ukachukizwa na hii "Untold story" kwa hapa mtandaoni just sababu ya ushabiki but am sure, Wanaofurahia wimbo huu kutoka moyoni kwamba ni mkali ni wachache sana, Common pleasure inayowapa amani wale mashabiki "kindakindaki" ni kuona tu Nyimbo mpya imetoka ambayo ni collabo basi, Number za views ili akomeshwe fulani. I bet hakuna common pleasure inayotakana na ukali wa wimbo wenyewe, hivyo hata life span yake itakuwa ndogo kama maisha ya nzi.
[HASHTAG]#Bolden[/HASHTAG].