Untold bitter truth about HALLELUJAH by Diamond

Rockaboy EA

Member
Joined
Aug 25, 2017
Posts
6
Reaction score
7
"UNTOLD BITTER TRUTH ABOUT 'HALLELUJAH' BY DIAMOND PLATINUMZ.

Karibu tuandike Within principles, Karibu to-unlock the locked story about "Hallelujah.

VIDEO.
This is unlock-truth about "Halleluja. Napenda kua-appreciate ukubwa wa Video hasa kubadilika kwa locations na rangi za Video, Director Moe Musa ameweza kumtoa Diamond "Ulimbukeni na Ushamba" wa kuamini kuwa Video kali ni maferari na majumba makali tu.

AUDIO.
ninaipa 20% tu sababu haina ubunifu wowote zaidi ya kucop melody na vitu vingi kutoka kwenye MashUp ya [HASHTAG]#Myheart[/HASHTAG] ya Diamond & @casspernyovest. Yes ! So kwa kadri navyosikiliza najikuta naimba ile mashup ya Coke Studio, Bila uwepo wa Heritage basi pengine hapa kusingekuwa na kitu kipya kabisa. Hii ni wazi kuwa huenda kipawa cha Mondy cha kushusha mawe mapya kinefikia tamati, ni wakati sasa aanze kuangalia namna ya kupata mtu wa kumsaidia kutunga tungo kali kama za zamani, haiwezi kuwa ajabu kwani tumeona wasanii wengi wakifanya hivi na kure-new their lost glory.

RECORD YOUTUBE. Kwanza hapa inatakiwa tuelewe kwamba, Diamond hayupo vevo kwahyo records yoyote itakayozungumziwa basi tupambanisha na records za Artists waliopo [HASHTAG]#Youtube[/HASHTAG] tu, Hivyo Diamond hajavunja record ya @officialalikiba sababu videos zao zipo channel tofauti, kupambanisha [HASHTAG]#Youtube[/HASHTAG] na [HASHTAG]#Vevo[/HASHTAG] huko ni kujitoa ufahamu.

LASTLY: Unaweza ukachukizwa na hii "Untold story" kwa hapa mtandaoni just sababu ya ushabiki but am sure, Wanaofurahia wimbo huu kutoka moyoni kwamba ni mkali ni wachache sana, Common pleasure inayowapa amani wale mashabiki "kindakindaki" ni kuona tu Nyimbo mpya imetoka ambayo ni collabo basi, Number za views ili akomeshwe fulani. I bet hakuna common pleasure inayotakana na ukali wa wimbo wenyewe, hivyo hata life span yake itakuwa ndogo kama maisha ya nzi.

[HASHTAG]#Bolden[/HASHTAG].

386d497b6b27b597cb94618d7a27c6b5.jpg
 
Wanakuja .........
 
Habari njema za Mungu siku hazipewi nafasi.zinazopewa nafasi ni habari za watu tena kwa mitindo mingi
 
Umenena ukweli mkuu ambao kwa sisi tusio na timu tulitamani kuuweka ila tukaogopa matusi ya nguoni kwa vindakindaki ambao ukija na mawazo tofauti na diamond, basi wanakuita unachuki.

Hii nyimbo imebebwa na kiki ya mobeto. Na nilihisi hiki kitu. Pia ukubwa wa jina la diamond unaubeba pia.

Mwisho wa siku wataelewa hiki ulichokisema
 
alie andika post ni team kibamia kwani iyo vevo ipo wapi ni platform tofauti na youtube?
 
Umenena ukweli mkuu ambao kwa sisi tusio na timu tulitamani kuuweka ila tukaogopa matusi ya nguoni kwa vindakindaki ambao ukija na mawazo tofauti na diamond, basi wanakuita unachuki.

Hii nyimbo imebebwa na kiki ya mobeto. Na nilihisi hiki kitu. Pia ukubwa wa jina la diamond unaubeba pia.

Mwisho wa siku wataelewa hiki ulichokisema
Haya nenda na ww ukapewe izo elfu sabini na rav4 upate kiki.
 
"UNTOLD BITTER TRUTH ABOUT 'HALLELUJAH' BY DIAMOND PLATINUMZ.

Karibu tuandike Within principles, Karibu to-unlock the locked story about "Hallelujah.

VIDEO.
This is unlock-truth about "Halleluja. Napenda kua-appreciate ukubwa wa Video hasa kubadilika kwa locations na rangi za Video, Director Moe Musa ameweza kumtoa Diamond "Ulimbukeni na Ushamba" wa kuamini kuwa Video kali ni maferari na majumba makali tu.

AUDIO.
ninaipa 20% tu sababu haina ubunifu wowote zaidi ya kucop melody na vitu vingi kutoka kwenye MashUp ya [HASHTAG]#Myheart[/HASHTAG] ya Diamond & @casspernyovest. Yes ! So kwa kadri navyosikiliza najikuta naimba ile mashup ya Coke Studio, Bila uwepo wa Heritage basi pengine hapa kusingekuwa na kitu kipya kabisa. Hii ni wazi kuwa huenda kipawa cha Mondy cha kushusha mawe mapya kinefikia tamati, ni wakati sasa aanze kuangalia namna ya kupata mtu wa kumsaidia kutunga tungo kali kama za zamani, haiwezi kuwa ajabu kwani tumeona wasanii wengi wakifanya hivi na kure-new their lost glory.

RECORD YOUTUBE. Kwanza hapa inatakiwa tuelewe kwamba, Diamond hayupo vevo kwahyo records yoyote itakayozungumziwa basi tupambanisha na records za Artists waliopo [HASHTAG]#Youtube[/HASHTAG] tu, Hivyo Diamond hajavunja record ya @officialalikiba sababu videos zao zipo channel tofauti, kupambanisha [HASHTAG]#Youtube[/HASHTAG] na [HASHTAG]#Vevo[/HASHTAG] huko ni kujitoa ufahamu.

LASTLY: Unaweza ukachukizwa na hii "Untold story" kwa hapa mtandaoni just sababu ya ushabiki but am sure, Wanaofurahia wimbo huu kutoka moyoni kwamba ni mkali ni wachache sana, Common pleasure inayowapa amani wale mashabiki "kindakindaki" ni kuona tu Nyimbo mpya imetoka ambayo ni collabo basi, Number za views ili akomeshwe fulani. I bet hakuna common pleasure inayotakana na ukali wa wimbo wenyewe, hivyo hata life span yake itakuwa ndogo kama maisha ya nzi.

[HASHTAG]#Bolden[/HASHTAG].

386d497b6b27b597cb94618d7a27c6b5.jpg

Kama huwezi kupambanisha vevo na youtube mbona mlifanya hivyo wakati wa seduce me?
 
Hallelujah imewasumbua sana aise. Yaani hamlali wewe na dada yako Mangi. Mpaka mtajamba ushuzi kwa hasira lakini Simba yuko juu. Seduce THAT!
 
Nyimbo ni nzuri na video amejitahidi ingawa yule crazy sister Mange ameibuka na hoja ya kuwa Daimond amekopi kiimbo cha kiitikio.
 
Ukisema VEVO ni bora kuliko YouTube , ni sawa na kusema Dar ni bora kuliko Tanzania.

Au ni sawa useme unajisikia amani sana ukiwa Dar kuliko Tanzania.

Na hiyo Mashup ya [HASHTAG]#myHeart[/HASHTAG] haifanani na Wimbo wa [HASHTAG]#Hallelujah[/HASHTAG] kwa chochote. Labda kwa sauti tu sababu zimetoka kwa mtu mmoja.

•Hiyo post umecopy kwa jamaa mmoja Instagram anajiita ni mchambuzi wa Muziki lakini pia ni Team Kiba. Mpe credit Yale tafadhali.
 
Back
Top Bottom