MotoYaMbongo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,146
- 886
Naomba mlio karibu na hizo Petrol station za huyo muuaji je Kodi alishalipa au vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka wamuulimboka nae?
bbkajamaa kanaonekana tu, kana kiburi cha ajabu mno.
Nakutafutia Like zako. Mitaala ibadilishwe kama wanaofaulu wako hivi duuuh
Ni kweli kabisa.. Ndugai ni mshirikina sana. Mganga wake yuko Kijiji cha Mbande, njia panda ya kwenda Kongwa ukiwa Barabara kuu ya Dodoma Morogoro/Dar.
Na wewe huwa unamtumia mganga huyo huyo?
Mungu ibariki Tanzania na watu wake. Hawa watumikia matumbo washindwe.Job ndugai kumbe ndio kazi yake???sasa nchi hii itaendaje kama kila mtu analipa kodi vile anavyojisikia????kwa hiyo yeye ndugai anajua atakufa na vituo vyake vya mafuta???mbulula kabisa naibu speaker!!!!!!!!!WALE WALE TU MWANGALIE HUYU NAE ANACHEKELEA KADI NYEKUNDU WAKATI ANAIGHALIMU TIMU.
![]()