Untold story: Ndugai na kifo cha afisa wa TRA Wilaya ya Kongwa

Untold story: Ndugai na kifo cha afisa wa TRA Wilaya ya Kongwa

Status
Not open for further replies.
Naomba mlio karibu na hizo Petrol station za huyo muuaji je Kodi alishalipa au vipi?
 
Wewe unasema unawaonea huruma wale vijana waliotuma sms na kumigia simu Ndugai na kumtakuna, ufikirii na wewe kumuaniaka hapa jamvini tukuonee huruma?
 
Unataka wamuulimboka nae?

Huyu jamaa nilimuona dodoma kwenye maoneshonya nane nane alikuja na mbunge mmoja wa viti maalum ambae anaota kupata uwaziri. Nilichogundua huyu jamaa bado mshamba! Alikuwa amevaa blazer oversize na raba zenye crazy colour!
 
aende polisi? Mmh, haki ya mbuzi itatoka wapi ikiwa fisi ndiye hakimu? Hii nchi ni nchi ya kitu kidogo, nyie hamjui tu!
 
CCM kwa kutorosha vitoto vya shule hawajambo! Serikali inalia haina hela kumbe akina Ndugai aka macho mekundu hawataki kulipa kodi!
bbkajamaa kanaonekana tu, kana kiburi cha ajabu mno.
 
Huu nao si ushahidi wa kuita mtajwa kwa mahojiano? Ama mtajwa kujitokeza na kukanusha?
 
Namfaham nyamboga tulikua nae mtaa wa jacaranda baadae akahamia pale forest mpya mbeya wakati huo yupo TRA mbeya.jamaa alikua mpole na mpenda haki sana.habari hii imenisikitisha sana.RIP BROTHER
 
Mkuu,ajali ilitokea ndani ya mkoa wa Dodoma na siyo Gairo;wala hakuwa anatokea Kongwa bali nyumbani kwake mjini Dodoma,kusalimia familia yake;kwa taarifa nilizopata.Huu nao,ni upepo wa vumbi jekundu utapita .........
 
SAYANSI GIZA tegemeo la magamba!! Ninawashauri wapinzani kumtegemea Mungu pekee ndiyo dawa ya sayansi giza!
 
So unatuaminisha kuwa ndugai ndie aliehusika na hiyo ajali kwa kauli zake za vitisho juu ya huyo kijana, if xo ndugai nae ni kigagula km b.. wake
 
Job ndugai kumbe ndio kazi yake???sasa nchi hii itaendaje kama kila mtu analipa kodi vile anavyojisikia????kwa hiyo yeye ndugai anajua atakufa na vituo vyake vya mafuta???mbulula kabisa naibu speaker!!!!!!!!!WALE WALE TU MWANGALIE HUYU NAE ANACHEKELEA KADI NYEKUNDU WAKATI ANAIGHALIMU TIMU.
541142_266246956830096_1490118693_n.jpg
Mungu ibariki Tanzania na watu wake. Hawa watumikia matumbo washindwe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom