mzaramo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2006
- 6,371
- 5,186
Inategemea mbali unaitafsiri vipi.Ila ujue tu mziki wa zamani haukuwa rahisi kama huu wa leo wenye social network za kumwaga.Ali alikuwepo ndio kama diamond but hakuwah kuufikisha mziki wetu mbali kama alivyofanya diamond
Leo hii Msanii anaweza akaachia ngoma mpya na asipeleke kwenye radio ila watu wa radio wakaitafuta wenyewe kwa njia zao.
Kwa wakati ule Ali aliufikisha mziki sehemu yake kwa juhudi zake na mziki wa zamani ulivyokuwa na diamond kaupeleka mbele huku akisaidiwa na upepo wa Social network