Endelea kubeba mabox south AfricaMwanaFA hakuwa anapata show zozote za nje ila Tanzania nzima tunajua kuwa MwanaFA ni mkali kuliko AY.
So funua uelewa wako kupata show za nje sio kigezo cha ukali wa msanii...Ushawahi kusikia wasanii wa South Africa wanapiga show nje ya kwao?!
Unataka kutuaminisha kuwa jamaa sio wakali na hawamfikii Diamond?!
Mbona na ww umekimbiia SA inamaana unataka kutuamnisha bongo kazi hakuna mpk ukimbilie south