Inategemea mbali unaitafsiri vipi.Ila ujue tu mziki wa zamani haukuwa rahisi kama huu wa leo wenye social network za kumwaga.Ali alikuwepo ndio kama diamond but hakuwah kuufikisha mziki wetu mbali kama alivyofanya diamond
Hata leo domo akifa ataacha legacy ya kuwa mmoja kati ya walioupekeka mziki wa bongoflava katika level ya juu sanaInategemea mbali unaitafsiri vipi.Ila ujue tu mziki wa zamani haukuwa rahisi kama huu wa leo wenye social network za kumwaga.
Leo hii Msanii anaweza akaachia ngoma mpya na asipeleke kwenye radio ila watu wa radio wakaitafuta wenyewe kwa njia zao.
Kwa wakati ule Ali aliufikisha mziki sehemu yake kwa juhudi zake na mziki wa zamani ulivyokuwa na diamond kaupeleka mbele huku akisaidiwa na upepo wa Social network
Sisi tutamkumbuka wewe usipomkumbuka hayo ni maamuzi yakoHata leo domo akifa ataacha legacy ya kuwa mmoja kati ya walioupekeka mziki wa bongoflava katika level ya juu sana
Lkn kiba hana cha kukumbukwa
Povu lilivokutoka ukweli unaumaSisi tutamkumbuka wewe usipomkumbuka hayo ni maamuzi yako
muongo mkubwa zamani hizo unazo sema wewe labda msondo ngoma ndio nakubali vp Ay aliwezaje kuforwad poor kibakulInategemea mbali unaitafsiri vipi.Ila ujue tu mziki wa zamani haukuwa rahisi kama huu wa leo wenye social network za kumwaga.
Leo hii Msanii anaweza akaachia ngoma mpya na asipeleke kwenye radio ila watu wa radio wakaitafuta wenyewe kwa njia zao.
Kwa wakati ule Ali aliufikisha mziki sehemu yake kwa juhudi zake na mziki wa zamani ulivyokuwa na diamond kaupeleka mbele huku akisaidiwa na upepo wa Social network
kwa lipi labda kwa kiki ya mondSisi tutamkumbuka wewe usipomkumbuka hayo ni maamuzi yako
Co kweli coz Ali hakuwa peke yake walikuwepo na wakina Mr blue, mwanafa na diamond aliwakuta na hawakufanya chochote mpaka d alipokuja kufanya mabadiliko, so tukubali tukatae d ndio aliofanya huu mziki umefika hapa leoInategemea mbali unaitafsiri vipi.Ila ujue tu mziki wa zamani haukuwa rahisi kama huu wa leo wenye social network za kumwaga.
Leo hii Msanii anaweza akaachia ngoma mpya na asipeleke kwenye radio ila watu wa radio wakaitafuta wenyewe kwa njia zao.
Kwa wakati ule Ali aliufikisha mziki sehemu yake kwa juhudi zake na mziki wa zamani ulivyokuwa na diamond kaupeleka mbele huku akisaidiwa na upepo wa Social network
Co kweli coz Ali hakuwa peke yake walikuwepo na wakina Mr blue, mwanafa na diamond aliwakuta na hawakufanya chochote mpaka d alipokuja kufanya mabadiliko, so tukubali tukatae d ndio aliofanya huu mziki umefika hapa leo
Kwanza mimi sio bwege pili sio shabiki wa msanii yeyote bali nyimbo nzuri hata wewe ukitoa nyimbo nzuri ntaikubali hivo hivo kwa diamond na alikiba na msanii yeyote yule.Mashabiki wa ali kiba sikieni nikwambieni, video ya rich mavoko wakati inatoka ilikuwa namba moja ktk trending TZ kwasababu ndo ilikuwa inaangaliwa sana na watanzania. Kadri siku zinavokwenda haitazamwi sana tanzania, bali nchi mbalimbali duniani ndo mana ina view wengi lakini aitrend sana in tz, ukipiga hesabu darasa ni trend 1 in tz means anatizamwa sana tz, so ndo umuhmu wa kuwainternational, hata kama hautrend bongo utapata view wengi mana unaangaliwa nchi nyingi. Ndomana salome au pana zinaangaliwa sana ila ktk kutrend tz hazipo sababu za kimataifa
Mm ndio hata sikuelewi.Co kweli coz Ali hakuwa peke yake walikuwepo na wakina Mr blue, mwanafa na diamond aliwakuta na hawakufanya chochote mpaka d alipokuja kufanya mabadiliko, so tukubali tukatae d ndio aliofanya huu mziki umefika hapa leo
Kafanya ili la kukumbukwa huko zamani?Mm ndio hata sikuelewi.
Unataka kusemaje sasa...Ali hajafanya chochote kwenye huu muziki au?!
Huu ndio ukweli angalau kuna wachache na wagumu kuelewa bado watabisha sana.Co kweli coz Ali hakuwa peke yake walikuwepo na wakina Mr blue, mwanafa na diamond aliwakuta na hawakufanya chochote mpaka d alipokuja kufanya mabadiliko, so tukubali tukatae d ndio aliofanya huu mziki umefika hapa leo
Kumbe upo jirani, ila punguzeni mahaba mshaurini domo pale panapostahili, mwambie pia apunguze mapovuKwanza huyo max ndio nani!!?,
Na ana fanya shughuli gani mpaka athibitishe kuwa diamond kanunua likes!!?
It doesnt make sense hapo
I think jibu unalo, Ali kama mtoto uji kapikiwa yeye anafanya kunywa tuu, aliona mziki mgumu ndo mana aliamua kupumzika now kaona kashatengenezewa njia na d ndo karud kula matunda ya uhuruMm ndio hata sikuelewi.
Unataka kusemaje sasa...Ali hajafanya chochote kwenye huu muziki au?!