UNWTO: Tanzania Yashika Namba 6 Duniani Kwa Kasi ya Kuvutia Watalii.Wadau Wapongeza Royal Tour ya Rais Samia.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Shirika linalosimamia Utalii Duniani limeipongeza Serikali ya Tanzania Kwa kuwa na sera Bora zinazovutia Watalii na kufanya Nchi yetu kushika nafasi ya 6 Duniani Kwa Nchi zilizovutia Watalii wengi Kwa mda mfupi.

Katikati ya pongezi hizo ni Sera ya Kuvutia Utalii iliyortaibiwa na Rais Samia Maarufu Kwa Royal Tour na President Tour

Ikumbukwe mwaka wa Fedha 2023,Watalii zaidi ya Milioni 2 walitembelea Tanzania .👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DANTuS2NZOR/?igsh=bjN0M2M0dzI2aWQ=

View: https://www.instagram.com/p/DALm9AFtXp5/?igsh=NWNiOXp3dGdxbDBp

My Take
Samia ana nyota Kali sana, Kila sekta anayogusa inapata mafanikio.
Kutoka nafasi ya 9 Hadi namba 6 yaani ni 🔥 🔥 UNWTO: Nchi 10 Zilizofanya Vizuri kwenye Utalii Duniani.Tanzania Yashika Namba 9.

Viva SSH,viva 🇹🇿👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C_2N3MCo7ee/?igsh=Y3B6MjF0cjhzZWZz
 
Samia ana nyota Kila sekta anayogusa inapata mafanikio.

Viva SSH,viva 🇹🇿

Na kwa utekaji ni ya ngapi mkuu?
 
Shirika linalosimamia Utalii Duniani limeipongeza Serikali ya Tanzania Kwa kuwa na sera Bora zinazovutia Watalii na kufanya Nchi yetu kushika nafasi ya 6 Duniani Kwa Nchi zilizovutia Watalii wengi Kwa mda mfupi.

Katikati ya pongezi hizo ni Sera ya Kuvutia Utalii iliyortaibiwa na Rais Samia Maarufu Kwa Royal Tour na President Tour

Ikumbukwe mwaka wa Fedha 2023,Watalii zaidi ya Milioni 2 walitembelea Tanzania .👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DANTuS2NZOR/?igsh=bjN0M2M0dzI2aWQ=

View: https://www.instagram.com/p/DALm9AFtXp5/?igsh=NWNiOXp3dGdxbDBp

My Take
Samia ana nyota Kali sana, Kila sekta anayogusa inapata mafanikio.
Kutoka nafasi ya 9 Hadi namba 6 yaani ni 🔥 🔥 UNWTO: Nchi 10 Zilizofanya Vizuri kwenye Utalii Duniani.Tanzania Yashika Namba 9.

Viva SSH,viva 🇹🇿👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C_2N3MCo7ee/?igsh=Y3B6MjF0cjhzZWZz

Kazi nzuri ,matokeo kazuri👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DAjjMFNoMOH/?igsh=ajhqNXVlZmRuMG11
 
Awamu ya Nne na ya Tano mlikuwa mnatangaza utalii nchi ngapi Duniani?
 
Taarifa za uongo uongo na kutengeneza. Ogopa machawa wa viwanda vya uongo
 
Back
Top Bottom