ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Shirika linalosimamia Utalii Duniani limeipongeza Serikali ya Tanzania Kwa kuwa na sera Bora zinazovutia Watalii na kufanya Nchi yetu kushika nafasi ya 6 Duniani Kwa Nchi zilizovutia Watalii wengi Kwa mda mfupi.
Katikati ya pongezi hizo ni Sera ya Kuvutia Utalii iliyortaibiwa na Rais Samia Maarufu Kwa Royal Tour na President Tour
Ikumbukwe mwaka wa Fedha 2023,Watalii zaidi ya Milioni 2 walitembelea Tanzania .👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DANTuS2NZOR/?igsh=bjN0M2M0dzI2aWQ=
View: https://www.instagram.com/p/DALm9AFtXp5/?igsh=NWNiOXp3dGdxbDBp
My Take
Samia ana nyota Kali sana, Kila sekta anayogusa inapata mafanikio.
Kutoka nafasi ya 9 Hadi namba 6 yaani ni 🔥 🔥 UNWTO: Nchi 10 Zilizofanya Vizuri kwenye Utalii Duniani.Tanzania Yashika Namba 9.
Viva SSH,viva 🇹🇿👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C_2N3MCo7ee/?igsh=Y3B6MjF0cjhzZWZz