Unyakuo u karibu, nimemwona King Jesus mawinguni amepanda farasi mweupe akiwa na jeshi kubwa la Malaika na Watakatifu

Ufunuo 3:21

Yeye ashindaye, nitampa kuketi pamoja nami katika KITI changu Cha enzi, kama Mimi nilivyoshinda nikaketi pamoja na BABA yangu katika KITI chake Cha enzi.

.... Mwisho wa kunukuu....

Usikate tamaa, ikiwa Yesu akikubali kuacha KITI Cha enzi Mbinguni, akashuka na kushinda, wewe pia usikubali chochote kikufarakanishe na mbingu, Roho mtakatifu akutie nguvu upambane Hadi mwisho na kushinda.

Ubarikiwe 🙏
 
Ubarikiwe sana Mkuu
Niweke kwenye maombi ..
Mungu anivushe hapa nilipo
 
Ubarikiwe sana Mkuu
Niweke kwenye maombi ..
Mungu anivushe hapa nilipo
Mungu sifa yake kuu ni Mwaminifu na WA Kweli.

Ameahidi kutusaidia, amini kamwe hatokuacha, upitapo katika magumu amini Yu pamoja nawe,

Siku zimeamriwa, WATAKATIFU wapitishwe katika moto Ili wangae kama dhahabu. Majaribu ni mtihani wa kutufikisha kwenye destiny yetu.

Na ndio Hasa maana ya ndoto ya kuota uko shuleni ukifanya mtihani.

Ni majaribu unapitia, na endelea kuomba, kufunga, Kutoa sadaka, HAKIKA umeshinda.

Ubarikiwe 🙏
 
Mtumishi naweza kuku PM?
 


Haya
Sasa amka Oga nenda katafute mkate wa kila siku
 
Haya
Sasa amka Oga nenda katafute mkate wa kila siku
Ni alert Kwa WATAKATIFU kujiweka tayari,

Na kujiweka tayari ni kuishi MAISHA ya utakatifu,

Hiyo haimaanishi kuacha kufanya KAZI halali,

Usiwe na uono hafifu juu ya maandiko.
 
Umezinguwa ungemwambia "bwana hilo panga lako si kitu kwa makombora ya Netanyahu". 1 billion PILATOS = 1 NETANYAHU
 
halafu kuna mbuzi humu zitaamini huu upupu

wakiristo wajinga sana
 
Ni alert Kwa WATAKATIFU kujiweka tayari,

Na kujiweka tayari ni kuishi MAISHA ya utakatifu,

Hiyo haimaanishi kuacha kufanya KAZI halali,

Usiwe na uono hafifu juu ya maandiko.


Sawa tumeelewa
Kuna Maisha after maandiko

So jiandae kwenda kupambana na changamoto za dunia,

Hayo maandishi yapo Tu
 
Sawa tumeelewa
Kuna Maisha after maandiko

So jiandae kwenda kupambana na changamoto za dunia,

Hayo maandishi yapo Tu
Neno la Mungu linasema wazi, Unyakuo utatokea maisha yakaendelea kama kawaida,

Wawili watakuwa shambani wakilima, mmoja atatwaliwa mwingine ataachwa,

Wawili watakuwa wamelala kitandani, mmoja akitwaliwa, mwingine akiachwa.

Nami ni mtumishi wa Mungu, nikitwaliwa nikiwa nafanya KAZI ya Mungu pia ni jambo jema.


Karibu katika familia ya WATAKATIFU waishio duniani🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…