Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Maagizo ya bulembo, na uvccm
Kwa hiyo hapo kina nani ndo wanahusika? CCM?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo hapo kina nani ndo wanahusika? CCM?
😆😆😆Yaani mhuni huyu anapata wapi moral authority ya kuwakoromea Wamarekani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu kwa uchunguila CDM tumezidi uzwa zwa…. wanaotupiga hivi tunawajua, wengi wao tunaishi nao mtaani, tunalalamikaa alafu yanaisha, kesho, keshokutwa wanatandika mwingine tunalalamika tuuu yanaishaa, ilifeke mahali tuukatae huu mchezo, kwani nini
unataka tukuwekee picha zote , halafu mara nyingi nakuona uko upande wa shetani , je wewe ni miongoni mwa wauaji ? simama uhesabiweKichwa kinasema panga la utosi picha inaonyesha kwenye paji la uso sasa tushike lipi
Kuna watu watakuja kuhoji kwann hakuwahi kurudi nyunbani. Nina imani uchunguzi unaendelea kuwabaini wahusika.View attachment 1348474
Hapa ndio mahali ambapo Nchi yetu na siasa zetu zilipofikia.
Tunamshukuru Mungu kwa kumlinda Mh Ibra dhidi ya wahalifu wanaolindwa ambao walimvamia alipotoka kwenye mgahawa kuelekea nyumbani kwake .
Mungu ibariki Chadema
=====
Ibrahim John Mwampwani diwani wa kata ya Isyesye Jijini Mbeya, amevamiwa saa nne na watu wanne wenye Mapanga na kukatwa sehemu za kichwani. Ameshonwa nyuzi 6, Alikuwa anatoka kwenye Shughuli zake za biashara.
Kwahiyo hii ndio kutimiza malengo yaliyokusudiwa ya Tulia kubeba Jeneza lenye msalaba Mbeya ?Lile jeneza CHADEMA lililo onyeshwa na Tulia lilikuwa na maana gani??
Mdude Chadema alifanywaje au huelewi??
CHADEMA wanasababu ya kuwahisi CCM kwa sababu wanahamasisha mauwaji kwa wapinzani, Bulembo alihamasisha wakashangilia wote kama mataaila, hukuona bungeni??
umewahi kusikia diwani wa ccm kacharangwa mapanga ?Yani we jamaa bhana,kila baya unahusisha na siasa,tupe basi uthibitisho/maelezo ya kina kuliko ulivoandika kidogo hivyo. Kama wana matatizo yao binafsi je? Au ni wahuni walitaka kumpora kitu.
macson
uliwahi kusikia polisi wa Tanzania wakihangaika na majanga ya Chadema ?Viombo vya dola waifanyie kazi na waje na majibu mujarabu, ili kuondoa ukakasi baina ya raia na vyomb vya dola.
watanzania mnakoelekea siyo kuzuri kwa kuzani kuwa viongozi wa chadema ni malaika hawana makosa katika jamii huyu kapigwa panga lakini kabla hata ya uchunguzi unakuja na uzi kuwa ccm ndiyo wamempiga je unauhakika gani? je kama alikuwa na visasi na watu wengine utajuaje acheni ujinga mnaotaka kuujaza kwa watu yatawarudia nyienyie je alikuwa kwenye kutano wa siasa? unajuaje kama humo kwenye mgahawa kama kazurumu mtu akawa anamfuatilia?acheni kabisa
Atua zichukuliwe na chadema waache uzwazwa. Kama Mbowe hana mikakati ya kuendesha operation ya kumaliza hili jambo apishe kwa muda. Watu wake kila siku wanatandikwa na yeye yuko kimya. Itafika siku hakuna hata mtu mmoja atakaye kubali kugombea nafasi yoyote kwa tiketi ya chadema kwani ataogopa kukutwa na mambo kama haya. CHADEMA CHUKUENI HATUAila CDM tumezidi uzwa zwa…. wanaotupiga hivi tunawajua, wengi wao tunaishi nao mtaani, tunalalamikaa alafu yanaisha, kesho, keshokutwa wanatandika mwingine tunalalamika tuuu yanaishaa, ilifeke mahali tuukatae huu mchezo, kwani nini