Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Mzee wa historia Bw.Ameir ambae ni miongoni mwa waathirika wa matukio ya Uchaguzi wa Oktoba 2020.
Majeraha hayo yametokana na kipigo na mateso aliofanyiwa na vyombo vya Ulinzi wanaolipwa kwa kodi ya Wananchi akiwemo Mzee Ameir ambae hajawakosea jambo lolote kachukuliwa kwake wakampeleka wanako kujuwa wao na kumfanyia unyama huo. Mzee Ameir hapungukiwi miaka 80 kwa kukisia.
Allah ndie mlipaji