Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Magumashi ni mnyama kupindukia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa unapigwa nao wewe sio bure. Mzee wa miaka 80 kuna amani gani anayoweza kuvunja! Nenda.kapigwe nao huko kuna la mama yako!Siamini hata kdg kama vyombo vyetu vya ulinzi na amani vinaweza kuonea watu bure, HAPANA. Lazima kuwe na sababu, kutofuata amri au maelekezo: Mkiambiwa fuateni utaratibu hamsikii, mnataka vurugu, kutaka kuiingiza nchi kwa machafuko. Dawa ya moto ni moto, hapana chezea amani yetu, kaa mbali na chokochoko. Kuna baadhi ya watu wamelewa kwa ajili ya amani, siku tukiingia kwenye vurugu kama Libya tunaanza kujuta. Lazima amani, utulivu na mshikamano wetu ulindwe kwa nguvu zote
NdioUlimwona akifanya fujo??
Tumia hata akili ya mbuzi kuvukia barabara , kwani mamlaka ya polisi ni kuua watu ? Ndio sheria inavyosema hivyo? Sheria inataka polisi kutumia mabomu ya machozi na maji ya kuwasha sio risasi za moto , mamlaka ya kuua nyinyi CCM mmeyapata wapi ? Kwanani ?hata vitabu vyote vya dini havisemi wapinzani wauwawe kwa risasi za moto au mamlaka hayo ya kuua mnayatoa kwa mungu wa ccm mwenge Nyamrunda ?Siamini hata kdg kama vyombo vyetu vya ulinzi na amani vinaweza kuonea watu bure, HAPANA. Lazima kuwe na sababu, kutofuata amri au maelekezo: Mkiambiwa fuateni utaratibu hamsikii, mnataka vurugu, kutaka kuiingiza nchi kwa machafuko. Dawa ya moto ni moto, hapana chezea amani yetu, kaa mbali na chokochoko. Kuna baadhi ya watu wamelewa kwa ajili ya amani, siku tukiingia kwenye vurugu kama Libya tunaanza kujuta. Lazima amani, utulivu na mshikamano wetu ulindwe kwa nguvu zote
Wewe ndo huelewi, mbona polisi ameuawa? Au polisi siyo binadamu, kwa kawaida kutishia ni Mara tatu kupiga risasi hewani, kama wanazidi kusonga mbele tena kurusha mawe, na silaha zingine... Hapo lazima mtu akalishwe chini ili kutuliza ghasia.Tumia hata akili ya mbuzi kuvukia barabara , kwani mamlaka ya polisi ni kuua watu ? Ndio sheria inavyosema hivyo? Sheria inataka polisi kutumia mabomu ya machozi na maji ya kuwasha sio risasi za moto , mamlaka ya kuua nyinyi CCM mmeyapata wapi ? Kwanani ?hata vitabu vyote vya dini havisemi wapinzani wauwawe kwa risasi za moto au mamlaka hayo ya kuua mnayatoa kwa mungu wa ccm mwenge Nyamrunda
Tafuta ukweli, usikimbilie kumwonea huruma kisa umri.Itakuwa unapigwa nao wewe sio bure. Mzee wa miaka 80 kuna amani gani anayoweza kuvunja! Nenda.kapigwe nao huko kuna la mama yako!
Hapa ndipo mnaposhindwa! Hata kama mkiwa na haki, mtadharailiwa kwa sababu ya kutumia uongo ili mvune huruma!Halafu Hutu likatumia billioni kumi kuwalipa wahutu liliowaleta toka Burundi .
Hii paragraph ya mwisho kila mmoja amejua wewe ni hayawani! Zile mbili mtu angefikiri wewe ni wa kawaida!Mwalimu nyerere ANGEYAONA HAYA HAKIKA ANGELIA KILIO KIKUU.
NCHI ALIYOIPIGANIA KWA DAMU NA JASHO WAO KWA WAO WAMEANZA KUCHINJANA KAMA WANYAMA.
Jiwe ni Mtusi ndio maana katili watanzania tulizoea kuishi kwa upendo.
Jiwe analipeleka wapi hili Taifa???
Huyu mtu alichukuliwa nyumbani kwake akiwa ametulia barazani.Amevuna alichopanda, nani alimwambia afanye fujo, amlaumu aliemwambia akafanye fujo
Wahutu kwa kawaida yao (Mu-7, Kagame, Nkurunziza) hawaondoki. 2025 akiwa mzima anabadili katiba ama anatafuta Mhutu mwenzie humo CCM. Tutaendelea hivi kwa muda mrefu sana. Na kwa vile ni waoga wa kuandamana, we are in for it.
Kama ni kweli afungue kesi,hatutaki watu kuonewa bila makosa.