citizensindevelopment18
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 1,636
- 830
Pole sana na mungu akusaidie upate ahueniMzee wa historia Bw.Ameir ambae ni miongoni mwa waathirika wa matukio ya Uchaguzi wa Oktoba 2020.
Majeraha hayo yametokana na kipigo na mateso aliofanyiwa na vyombo vya Ulinzi wanaolipwa kwa kodi ya Wananchi akiwemo Mzee Ameir ambae hajawakosea jambo lolote kachukuliwa kwake wakampeleka wanako kujuwa wao na kumfanyia unyama huo. Mzee Ameir hapungukiwi miaka 80 kwa kukisia.
Allah ndie mlipaji
View attachment 1632457
View attachment 1632458