Unyama uliofanywa na vyombo vya Ulinzi na Usalama

Unyama uliofanywa na vyombo vya Ulinzi na Usalama

Kwa hiyo kwa kuwa siyo polisi ndiyo achinjwe??!!

Soma tena nilichokuandikia bila jaziba

Askari yule si polisi, alikwenda kufanya nini kwenye uchaguzi na sheria haimruhusu?
Inaonyesha hujaangalia mpaka mwisho umeandika kwa jaziba tu
 
Alikuwa nyumbani kwake
Kwani hawajui kuwa hata yule bu mkubwa alikuwa nyumbani kwake walikomkatishia haki yake ya kuishi..
Mwenyezi Mungu atunusuru...
Maama wanaoshangilia na waliao adhabu ijapo haitachagua maana dhulma haijapata kushinda hata ikipakwa rangi na kutiwa manukato.
 
Unafurahia mauwaji ushetani huo

Ondoeni hayo majeshi ya JWTZ , polisi, na majeshi mliyokodi kutoka Burundi ,sasa uone kama sitoandamana
Hahahaha, kumbe unaogopa jeshi. Au wewe sio kamanda?? Kamanda hatakiwi kuogopa bana. BTW hakuna JWTZ, wala jeshi kutoka Burundi, ni uwongo wa kiwango cha juu. Acheni uzushi, Hivi mkiacha uwongo mtakosa kwenda mbinguni??
 
Jifunze kujibu unaloulizwa?
Hao majeshi yako na yale ya kukodi ya Burundi kwa kuwauwa raia ndio wamewalinda?

Polisi ina kazi gani ?
Wewe kiazi kweli, jeshi la Burundi linatoka wp? Hivi kwa akili yako ni kuwa jeshi letu tu limeshindwa kuthibiti uhalifu wenu?? Robo ya vijana wa Sirro tu wanatosha kuwathibiti nyie wahalifu. Ndo maana umebaki kwenye keyboard unalalamika tu, pamoja na kuhamasishwa na msaliti Lisu muandamane bado mmegwaya hakuna hata moja aliyethubutu, ndo maana amekimbia zake Ubelgiji kula bata ameona anapoteza muda kwa makanda viazi kama wewe.
Kwanza, hakuna jeshi kutoka Burundi wala nini, Tungekuwa na uhaba wa majeshi tusingeleka wanajeshi wetu huko DR Congo, Sudan. Ukiwa mwongo uwe smart, vinginevyo utakuwa unaumbuka kila Siku!!
 
Ondoeni hayo majeshi ya JWTZ , polisi, na majeshi mliyokodi kutoka Burundi ,sasa uone kama sitoandamana

Tumenyooshwa, na inatosha, sasa tuangalie mambo mengine yanayo tusumbua.

Si amini kama hizi kelele zitatusaidia sana. Kingine ndani ya vyama vyetu upo upungufu mkubwa. Tuna takiwa tuanze kuyaona na kuyafanyia kazi.
 
Siamini hata kdg kama vyombo vyetu vya ulinzi na amani vinaweza kuonea watu bure, HAPANA. Lazima kuwe na sababu, kutofuata amri au maelekezo: Mkiambiwa fuateni utaratibu hamsikii, mnataka vurugu, kutaka kuiingiza nchi kwa machafuko. Dawa ya moto ni moto, hapana chezea amani yetu, kaa mbali na chokochoko. Kuna baadhi ya watu wamelewa kwa ajili ya amani, siku tukiingia kwenye vurugu kama Libya tunaanza kujuta. Lazima amani, utulivu na mshikamano wetu ulindwe kwa nguvu zote.
Huu ulioandika hapa in upuuzi. Kilichotokea Libya ni matokeo ya MTU mmoja kuigeuza nchi kuwa Mali yake binafsi na familia yake kitu ambacho hata hapa Tz kuna wapuuzi wanaojiaminisha kuwa bila wao na chama chao kuwa madarakani basis hakuna nchi kiasi cha kufikia hatua ya kukataa matakwa ya wenye nchi juu ya nani wanaotaka awaongoze. Au umesahau ya Jecha mwaka 2015?
 
Tumenyooshwa, na inatosha, sasa tuangalie mambo mengine yanayo tusumbua.

Si amini kama hizi kelele zitatusaidia sana. Kingine ndani ya vyama vyetu upo upungufu mkubwa. Tuna takiwa tuanze kuyaona na kuyafanyia kazi.
Kuhusu upungufu Wa kwenye vyama hill in jukumu la wananchi wenyewe wala so juu ya wendawazimu Wa ccm kukataa matakwa ya wananchi wakiamua . AU wananchi sio wenye nchi na wao ndio madaraka yanatoka kwao!?
 
JF mnasemaje tuanze kushusha vidio za maiti wanatupwa deep sea na maccm na wahutu wao wa kukodi waliovalishwa Gwanda .
 
Kuhusu upungufu Wa kwenye vyama hill in jukumu la wananchi wenyewe wala so juu ya wendawazimu Wa ccm kukataa matakwa ya wananchi wakiamua . AU wananchi sio wenye nchi na wao ndio madaraka yanatoka kwao!?

Wananchi ni nani? Na sisi ni nani?
 
Uongozi umejitahidi na kufanikiwa kutengeneza wafuasi na si jamii yenye muono wa kiuanachama. Mfuasi huwa hana muda wa kuuliza, kujua kilichotokea na kesho yetu ni nini?

Kitakacho semwa na uongozi ni scripture hata kama ni kutunga na kulazimisha hali ili waondokwe na lawama ambazo zitawachafua kiuongozi na wanachama kutaka mabadiliko ya sera.

Kama uwezo wa kutayarisha picha za mgombea Urais hatukuweza jee ukiambiwa tulikuwa na Mawakala 80,000 , Kwa nini ukubali kirahisi wakati mahitaji ya Mawakala wachache tuu maeneo ya viongozi ilikuwa taabu sana kutimiza. Tujaribu kuona shida zetu pia, tusing'aga'nie tuu suala la kunyooshwa,
 
Hata sijui umeandika nini kwa kweli! Hivi kama ccm wameshindwa kukabidhi uongozi wa Zanzibar kwa viongozi halali wanaochaguliwa na waZanzibar miaka nenda rudi kwa kile kipande kidogo cha ardhi, leo hii wanaweza kukabidhi nchi yote ya Tz kwa viongozi wengine nje ya ccm? Ndio maana kama inawezekana tuufute huu mfumo wa kiinimacho tunaouita uchaguzi ambao unapoteza mabilioni ya shilingi wakati maamuzi ya wananchi hayaheshimiwi.. tusipoteze muda wa wananchi kujitafutia ridhiki. Tuachie tu wale wajinga wachache wanaojiona wana exclusive rights ya kuamua nani aongeze nchi kule dodoma watuamulie maana wao ndio wenye nchi na wao wana akili kuliko waTz wote.
 
Soma tena nilichokuandikia bila jaziba

Askari yule si polisi, alikwenda kufanya nini kwenye uchaguzi na sheria haimruhusu?
Inaonyesha hujaangalia mpaka mwisho umeandika kwa jaziba tu
Mgambo anaruhusiwa?!
 
Kwani ni LAZIMA kuandamana kudai vibali? Walikuwa na kibali cha maandamano? Haya ndo tunayosema kila siku, Fuateni utaratibu!! Vinginevyo mtaendelea kulalamika kuonewa, wakati hamfuati utaratibu. Na usipofuata utaratibu, utapigwa tu!
ivi wewe bwege lini kulikuwa na maandamano
 
Siamini hata kdg kama vyombo vyetu vya ulinzi na amani vinaweza kuonea watu bure, HAPANA. Lazima kuwe na sababu, kutofuata amri au maelekezo: Mkiambiwa fuateni utaratibu hamsikii, mnataka vurugu, kutaka kuiingiza nchi kwa machafuko. Dawa ya moto ni moto, hapana chezea amani yetu, kaa mbali na chokochoko. Kuna baadhi ya watu wamelewa kwa ajili ya amani, siku tukiingia kwenye vurugu kama Libya tunaanza kujuta. Lazima amani, utulivu na mshikamano wetu ulindwe kwa nguvu zote.
Amani ni lazima ilindwe ila kwa kutumia akili na ajuzi, ukitumia nguvu bila akili na ujuzi unasababisha amani kutoweka, Kuna umuhimu sana wa kuwafunza watu wetu zaidi juu ya umuhimu wa nchi yao, namna sahihi ya kuitunza nchi yao, Ukiangalia US walijitahidi kupigana nje ya nchi yao kwa ajili ya kulinda usalama na amani yao, wakasahau kuwafunza watu wao umuhimu wa nchi yao na amani yao, adui akaingia kupitia taasisi ya elimu, uchumi na utamaduni, Sasa hivi inawagharim sana, Lazima wazalendo na wajuzi wachukue hatua za muda mrefu. kuhakikisha amani ya nchi hii.
 
Back
Top Bottom