citizensindevelopment18
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 1,636
- 830
Pole sana na mungu akusaidie upate ahueniMzee wa historia Bw.Ameir ambae ni miongoni mwa waathirika wa matukio ya Uchaguzi wa Oktoba 2020.
Majeraha hayo yametokana na kipigo na mateso aliofanyiwa na vyombo vya Ulinzi wanaolipwa kwa kodi ya Wananchi akiwemo Mzee Ameir ambae hajawakosea jambo lolote kachukuliwa kwake wakampeleka wanako kujuwa wao na kumfanyia unyama huo. Mzee Ameir hapungukiwi miaka 80 kwa kukisia.
Allah ndie mlipaji
View attachment 1632457
View attachment 1632458
Halafu unakuta post hii imepata like za kutosha!!Ninaomba vikwazo viwekwe na wazungu pengine watawala watapata akili.
Kwani ni siri ,wakati tunawasikia kiswahili chao mitaani?Hahahaha, kumbe unaogopa jeshi. Au wewe sio kamanda?? Kamanda hatakiwi kuogopa bana. BTW hakuna JWTZ, wala jeshi kutoka Burundi, ni uwongo wa kiwango cha juu. Acheni uzushi, Hivi mkiacha uwongo mtakosa kwenda mbinguni??
Tuangalie wapi na watu wengine bado hawajarudishwa na wengine wako majela kwa kesi za kubambikizwa bila kufikishwa mahakamaniTumenyooshwa, na inatosha, sasa tuangalie mambo mengine yanayo tusumbua.
Si amini kama hizi kelele zitatusaidia sana. Kingine ndani ya vyama vyetu upo upungufu mkubwa. Tuna takiwa tuanze kuyaona na kuyafanyia kazi.
Ok poleniKwani mgambo ni wa kazi gani ???
Inna Lilah Wainna ilaihim RajiuunMzee wa historia Bw.Ameir ambae ni miongoni mwa waathirika wa matukio ya Uchaguzi wa Oktoba 2020.