joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hakuna aliye salama ndani ya Kenya. Baada ya vyombo vya usalama kuwapiga risasi na kuwauwa viongozi wa dini ya kiislam maeneo ya pwani kwa kisingizio cha ugaidi, sasa hivi imewageukia viongozi wa dini ya kikristo wanaoonekana kutoa matamshi yanayoipinga serikali ya Jubilee.
R.I.P