Mimi sielewi, kwanini hawa watu wanaforce kuishi vichakani na wanyama?. Hakuna vyoo, hakuna hospitali, hakuna maji safi, hakuna umeme sijui hata kama kuna nyumba, au labda wanalima,Why now , au ni vile serikali inamtumikia kibopa ?
Yaani nchi ilivyo kubwa hivi, nawe unakubali uongo kwamba kuna kigogo anataka kujenga hoteli hapo?Sawa lakini hatutaki kuona gang yeyote inakuja pale kwa jina la UWEKEZAJIII !!
Ukubwa wa nchi ni suala moja naYaani nchi ilivyo kubwa hivi, nawe unakubali uongo kwamba kuna kigogo anataka kujenga hoteli hapo?
Hiyo hoteli itskua na ukubwa wa kilomita ngapi hadi wanamasai watakiwe kuondoka?
Tusubiri tuone !!Yaani nchi ilivyo kubwa hivi, nawe unakubali uongo kwamba kuna kigogo anataka kujenga hoteli hapo?
Hiyo hoteli itskua na ukubwa wa kilomita ngapi hadi wanamasai watakiwe kuondoka?
Serikali ipi Mkuu?U mgeni wewe?Yana ukweli hayo na hakujatulia hata kidogo.unataka kusema nini , serikali yenu ilikuwa wapi?
Picha inakueleza huduma zilizokuwa zinafanyika mwaka uliopita ili kuweka ushahidi kwenye uzi , lakini maelezo ya chini yanakueleza lini barua ya kusitisha huduma hii imeandikwa .Kabla ya kupost umesoma tarehe ya hiyo picha yako mkuu au umekurupuka tu?
Mbona hueleweki mwanaccm,fafanua wameua nani na kijiji gani?masai wameua watu, wametesa watu, wame nyanyasa watu... nenda wilaya moja ya monduli uliza wakazi kuanzia makuyuni mpakaa mto wa mbu kuwa kuanzia mwaka jana mpaka mwaka huu wamasai wame wafanya nini? na kwanini walikuwa wana nunua ngano na amila wana changanya kwa pamoja alafu wana mwaga katika mazao yao...
pia uliza sababu ya mifugo kufa hovyo kwa pamoja kama sabbu ni ukame?
kama una ndgu huko piga simu uliza raia wakujuze
Wanyama hawezi kuongezeka kwa kiwango Cha kutisha kama unavyojaribu kujenga hoja yako.wanyama pia wanaongezeka hivyo kuhitaji maeneo zaidi. Sasa ni nani atakaye mpisha mwenzake ndipo ugomvi ulipo
it is a rhetorical question, haijibiwagi kirahisi rahisi kama unavyodhaniWenyeji wa asili walikuwa wakiishi maeneo hayo pamoja na hao wanyama kwa miaka mingi sana kabla ya fortress conservation module kuletwa na wakoloni.
Sasa sijuhi unataka waondoke akina nani!
Mbona hiyo ilikuwa 11 MARCH 2021Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa , Pimeni wenyewe.
View attachment 2118961
Flyings Medical Service wanafanya shughuli za utabibu kwa njia ya anga maeneo ya mkoa wa Arusha na Manyara tangu nwaka 1983. Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA), Ijumaa, 11/2/2022 wamewapa FMS barua rasmi ya kusitisha huduma zao zote kwa wa-maasai ndani ya Ngorongoro. Huu ni UUAJI!
Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa , Pimeni wenyewe.
View attachment 2118961
Flyings Medical Service wanafanya shughuli za utabibu kwa njia ya anga maeneo ya mkoa wa Arusha na Manyara tangu nwaka 1983. Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA), Ijumaa, 11/2/2022 wamewapa FMS barua rasmi ya kusitisha huduma zao zote kwa wa-maasai ndani ya Ngorongoro. Huu ni UUAJI!
Acha kuitisha serikali wewe. Wamasai na serikali nani mkubwa?
Kwa taarifa yako wamasai lazima wataondoka tu. Hatuwezi kama taifa kupoteza wanyama na watalii eti kisa kuna kakabila fulani hivi kasiko taka kuchangamana na binadamu wenzake kamegoma kuondoka Ngorongoro.
Kama wewe unajua si uandike hapa na sisi tujue...masai wameua watu, wametesa watu, wame nyanyasa watu... nenda wilaya moja ya monduli uliza wakazi kuanzia makuyuni mpakaa mto wa mbu kuwa kuanzia mwaka jana mpaka mwaka huu wamasai wame wafanya nini? na kwanini walikuwa wana nunua ngano na amila wana changanya kwa pamoja alafu wana mwaga katika mazao yao...
pia uliza sababu ya mifugo kufa hovyo kwa pamoja kama sabbu ni ukame?
kama una ndgu huko piga simu uliza raia wakujuze
[emoji871]Itaje hata hoteli moja unayoijua kwamba ujenzi wake unaendelea kwa kasi huko Ngorongoro?Mgogoro wa Mkomazi ni wa muda mrefu sana. Tangu eneo husika likiwa mapori ya akiba.
Huu mgogoro wa Ngorongoro nao si mpya ulikiwepo kwa muda mrefu sana.
Hofu ni kuwa lengo wala si uhifadhi. Kuna matajiri wanataka kujenga mahoteli ya kitalii mle ndani.
Tayari ndani ya NCA kuna ujenzi holela wa mahoteli unaendelea kwa kasi kubwa sana.
Tukomae ili shughuli za binadamu inluding ujenzi wa mahoteli zifanyike nje ya hifadhi.
Huku KIlwa hatuwahitaji.Mimi sielewi, kwanini hawa watu wanaforce kuishi vichakani na wanyama?. Hakuna vyoo, hakuna hospitali, hakuna maji safi, hakuna umeme sijui hata kama kuna nyumba, au labda wanalima,
Nijuacho kwao nyasi ndo dhahabu yao , kulisha ng'ombe,,
Haya ni maisha duni sana,,, [emoji23]
Waondolewe,, tena wahamishiwe kilwa kivinje
Umeelewa andiko ?Mbona hiyo ilikuwa 11 MARCH 2021
Mimi Ngorongoro ni nyumbani. Labsa kama unahitaji faida ya ushahidi wangu.[emoji871]Itaje hata hoteli moja unayoijua kwamba ujenzi wake unaendelea kwa kasi huko Ngorongoro?
[emoji871]Msiwe wepesi wa kuropoka vitu ambavyo binafsi yenu hamuwezi kuvishuhudia
[emoji871]Haya itaje sasa?
[emoji871]Jp Omuga....acha kushuhudia Uongo.
Yaan wewe mbuzi ujue haya alafu super dept yetu ya NCHI (TISS) wasijue lolote?? Hii nchi ina maajabu yake, we unadhani hii nchi haina wataalamu wa kuweza kujua namna ya kudeal na hizi ishu??Hii ni kazi inafanywa na intelijensi ya Kenya, kuhakikisha tourism ya Bongo daima inakuwa conflicts na wao watupige bao,wamefaulu watalii hawawezi kuja, na hiii movement wakenya walianza mara tu filamu ya Raisi Samia ya Royal tour ilipo kamilika, na kurushwa ile trailer, Remember ile filamu ilitakiwa iwe hewani between March and April, good movement mpaka high government official wanatumika. Intelligence ya Raisi Samia lazima iwe makini, Kenyan are controlling East African tourism by Mafian mechanism...
You have one if you were keen looking for an answer; a simplified version.it is a rhetorical question, haijibiwagi kirahisi rahisi kama unavyodhani