Tetesi: Unyama: Wamasai wa Ngorongoro waanza kukomeshwa, huduma muhimu zapigwa marufuku

Nadhani wanaona kigugumizi kwa sababu kimsingi hao wanaoonekana kuwa wawekezaji wamejenga hotels and camps inawezekana ni "fronts" tu. Real owners wanaweza wakawa wanasiasa wakongwe vigogo hapa nchini. Ndiyo sababu NCA imekaa kimya haina uwezo wa kuchukua hatua.
 
Kiboko ya masai ni masai, wanamfahamu vyema Hayati Moringe Sokoine anahitajika mmasai mwenye kariba yake.
 
Sijazungumzia nguo za Ulaya .
Namaanisha kuwa wameshaondoka kwenye kutengeneza nguo zao za kiasili na Sasa wananunua za kichina ambazo ni za muda mfupi zinatupwa kwenye hifadhi na Kununua nyingine kwenye minada.

Mashuka yote ya kuvaa Lubega yanatoka china.
Shanga zote zinatoka china.
Mbona hamfanyi utafiti.?
Mnaongea TU kishabiki.!!
Mpaka mikanda siku hizi Wamasai hawatengenezi za ngozi za asili. Wanatumia ngozi za kichini na kuweka urembo wa kichina.
Hata pochi hawatengenezi za ngozi ya ngombe asili. Wananunua za kichina.

Siku hizi Wamasai mpaka bangili wanavaa za kichina badala ya zile za asili ?
Haiwezekani wakatafuta maendeleo na vitu vya kisasa katikati ya Mbuga za wanyama halafu wanyama wakabaki salama.
 
Jaman, Kama Ni kwel kunack, nasema kunasiku....... Haya bhana ngoja tunyamaze ila tusije tukaona hli Jambo Ni dogo litachafua Hali ya hewa mnooooo,[emoji29][emoji29][emoji30][emoji30]
 
Mkuu, hum ndani kunawatu wanalipwa ili kueneza propaganda za wamasai waondolewe ili deal li accomplish, tatzo kubwa kwa Sasa ule ubinadam haupo Tena ila kilichopo Ni alienacho na asienacho,

Kuna vitu vitatu naviona kwa wamasai na taifa kwa ujumla, viongozi wanataka watufikishe, au tuwafikishe, au tufike pamoja.. na mda si mrefu simultaneously equation ita balance..

Keep in touched..
 
Wamsai wanashanga kuona kuwa kulikuwa na faru wengi San kipindi Cha nyuma ila sas hv hawapo nao wanajiuliza wamekwenda wapi
Hili nimelisikia mtu ktk space ya Maria akihoji
 
Katika mtandao uliongoza kumchukia Hayati Magufuli Jamii Forum iliongoza, mlioshangilia Kifo chake wote tunawajua, na baaaaado,

#Mama anaupiga Mwingi Sanaaaaa#

#Kazi Inaendelea#

[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
 
Very interesting insights here. Unaweza kuleta picha mbili tatu??
 
Third and last clinic of the day haina maana kusitisha huduma bali maana yake wamefunga shuguli za siku.
 
Third and last clinic of the day haina maana kusitisha huduma bali maana yake wamefunga shuguli za siku.
Kwani hiyo ndio barua ya serikali , yaani wachangiaji wootee huko mwanzo hawakuelewa ili wewe tu ndio umeelewa ?
 
Ataondoka kwa aibu, kwanini asirudi kwenu atawale au nyie hamtaki maendeleo mnataka bara pekee tupate maendeleo?
Kwenu na kwetu ni Tanzania ile ile tu. Watanzania huwa hatuna akili za kibaguzi zilizofilisika kama hizi za kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…