Tetesi: Unyama: Wamasai wa Ngorongoro waanza kukomeshwa, huduma muhimu zapigwa marufuku

Tetesi: Unyama: Wamasai wa Ngorongoro waanza kukomeshwa, huduma muhimu zapigwa marufuku

Exactly... What you are saying here summarizes all that I have been advocating for years.
Hao Wamasai waliondolewa Serengeti wakakimbilia Ngorongoro hasa ndani Crater mle shimoni. Nako waliondolewa wakaruhusiwa kuanzisha vijiji maeneo ya nje mita kadhaa kuzunguka Crater ambako hawaruhusiwi kufanya kazi nyingine tofauti na ufugaji, ujenzi wa nyumba za tope na kuzaliana.
Changamoto kubwa iliyopo ni kuwa Mamlaka ya Hifadhi (NCAA) wamekuwa inefficient and corrupt kwa kuruhusu ujenzi holela wa camps na mahoteli (kinyume cha Sheria na taratibu za NCA) wamepoteza moral audacity ya kuwasimamia wenyeji. Back in the days wenyeji walikuwa wakipokea msaada wa nafaka kila baada ya muda fulani. Sikumbuki mara ya mwisho kuona hilo zoezi ni lini.
Wenyeji nao kwa kutambua kuwa NCAA inawabania sasa wameamua kualikana kujazana hifadhini. Wapo wanaoingia ubia na matajiri wa ng'ombe, mbuzi na kondoo kwa ajili ya kusimamia mifugo hiyo hasa upande wa malisho.
Ushauri wangu mimi: Wamasai wabaki ama waondolewe, serikali haina budi kupiga marufuku ugawaji wa campsites na ujenzi wa hoteli za kitalii ndani ya hifadhi. Madhara ya mahoteli ni makubwa sana kwenye uhifadhi kuliko hata uwepo wa wenyeji.
Hoteli mpya zote zijengwe nje ya hifadhi. Karatu ni karibu sana.
Nadhani wanaona kigugumizi kwa sababu kimsingi hao wanaoonekana kuwa wawekezaji wamejenga hotels and camps inawezekana ni "fronts" tu. Real owners wanaweza wakawa wanasiasa wakongwe vigogo hapa nchini. Ndiyo sababu NCA imekaa kimya haina uwezo wa kuchukua hatua.
 
Kiboko ya masai ni masai, wanamfahamu vyema Hayati Moringe Sokoine anahitajika mmasai mwenye kariba yake.
 
Sijazungumzia nguo za Ulaya .
Namaanisha kuwa wameshaondoka kwenye kutengeneza nguo zao za kiasili na Sasa wananunua za kichina ambazo ni za muda mfupi zinatupwa kwenye hifadhi na Kununua nyingine kwenye minada.

Mashuka yote ya kuvaa Lubega yanatoka china.
Shanga zote zinatoka china.
Mbona hamfanyi utafiti.?
Mnaongea TU kishabiki.!!
Mpaka mikanda siku hizi Wamasai hawatengenezi za ngozi za asili. Wanatumia ngozi za kichini na kuweka urembo wa kichina.
Hata pochi hawatengenezi za ngozi ya ngombe asili. Wananunua za kichina.

Siku hizi Wamasai mpaka bangili wanavaa za kichina badala ya zile za asili ?
Haiwezekani wakatafuta maendeleo na vitu vya kisasa katikati ya Mbuga za wanyama halafu wanyama wakabaki salama.
 
Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa , Pimeni wenyewe.

View attachment 2118961
Flyings Medical Service wanafanya shughuli za utabibu kwa njia ya anga maeneo ya mkoa wa Arusha na Manyara tangu nwaka 1983. Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA), Ijumaa, 11/2/2022 wamewapa FMS barua rasmi ya kusitisha huduma zao zote kwa wa-maasai ndani ya Ngorongoro. Huu ni UUAJI!
Jaman, Kama Ni kwel kunack, nasema kunasiku....... Haya bhana ngoja tunyamaze ila tusije tukaona hli Jambo Ni dogo litachafua Hali ya hewa mnooooo,[emoji29][emoji29][emoji30][emoji30]
 
serikali ipo kwa ajiri ya raia sio maslahi ya wachache au kikundi cha watu fulani... huko wanapo zungumzwa masai napafahamu vyema na abc zake... mpka jamaa ambaye ndio mhamasishaji wa wamasai kugoma ambaye sasa yupo masomoni kwa ajri ya PhD, piga simu uliza masai huko loliondo walivyo kwa sasa...

hakuna ambacho sifahamu kuanzia hapo muda mpaka sasa, kama vipo ni mambo madogo sana... tuna marafiki pia wa kimasai kwa koo zao huko ambao ukitaka kwenda taarifa zina fika kabla wewe haujafika na una pokelewa bila kujitambulisha.

ila ndio kama ulivyo ujamaa, tuna ishi kwa kuvumiliana kwa mapungufu yetu. wame pokonywa Ranchi mwaka jana mwishoni hapo monduli, na wana dai ranchi ni yao... je kweli ranchi ni yao? tuna wwaelwa ndugu zetu wana changamoto zao na tuna fahamu jinsi ya kuishi nao kwa maumivu hata akikuchoma bisu, sababu n ndugu zetu na binadamu tuna mapungufu yenu.

masai ni vulnerable group...

wewe unae subiria story za kijiweni au vijiweni kuhusu masai endelea kusubiria... na una safari ndefu sana kuwa elewa hawa watu na namna ya kusaidia

usipo peleka mtoto shule una shitakiwa, ukibaka una shitakiwa, kuoa mtoto una shitakiwa. je kwa masai? na masai wote wana furahia? na una waingiaje kuwa ambia waache?

kaa hapo hapo piga kelele twitter na wakina sijui ole nani... endeleeni kudanganyana mkihisi mna ambiana yaliyo wazi na kweli kuhusu hii jamii...

hawa pale selela kuna kipindi wana teseka hawana mfano, tuna ingia kusaidia... una leta siasa, kuna madarasa yanayo tembea kila masai walipo, una zungumzia hii ya huduma ya afya, yapo mengi.

kuna kipindi masai ana kula mchicha na ugali njaa mbya

endelea kukesha twitter....

nina picha na video nyingi za masai kuhusu haya mambo yao, na masai wengine walio elimika wana tumia kupata pesa toka kwa wageni
Mkuu, hum ndani kunawatu wanalipwa ili kueneza propaganda za wamasai waondolewe ili deal li accomplish, tatzo kubwa kwa Sasa ule ubinadam haupo Tena ila kilichopo Ni alienacho na asienacho,

Kuna vitu vitatu naviona kwa wamasai na taifa kwa ujumla, viongozi wanataka watufikishe, au tuwafikishe, au tufike pamoja.. na mda si mrefu simultaneously equation ita balance..

Keep in touched..
 
Wamsai wanashanga kuona kuwa kulikuwa na faru wengi San kipindi Cha nyuma ila sas hv hawapo nao wanajiuliza wamekwenda wapi
Hili nimelisikia mtu ktk space ya Maria akihoji
 
Katika mtandao uliongoza kumchukia Hayati Magufuli Jamii Forum iliongoza, mlioshangilia Kifo chake wote tunawajua, na baaaaado,

#Mama anaupiga Mwingi Sanaaaaa#

#Kazi Inaendelea#

[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
 
Sijazungumzia nguo za Ulaya .
Namaanisha kuwa wameshaondoka kwenye kutengeneza nguo zao za kiasili na Sasa wananunua za kichina ambazo ni za muda mfupi zinatupwa kwenye hifadhi na Kununua nyingine kwenye minada.

Mashuka yote ya kuvaa Lubega yanatoka china.
Shanga zote zinatoka china.
Mbona hamfanyi utafiti.?
Mnaongea TU kishabiki.!!
Mpaka mikanda siku hizi Wamasai hawatengenezi za ngozi za asili. Wanatumia ngozi za kichini na kuweka urembo wa kichina.
Hata pochi hawatengenezi za ngozi ya ngombe asili. Wananunua za kichina.

Siku hizi Wamasai mpaka bangili wanavaa za kichina badala ya zile za asili ?
Haiwezekani wakatafuta maendeleo na vitu vya kisasa katikati ya Mbuga za wanyama halafu wanyama wakabaki salama.
Very interesting insights here. Unaweza kuleta picha mbili tatu??
 
Third and last clinic of the day haina maana kusitisha huduma bali maana yake wamefunga shuguli za siku.
 
Third and last clinic of the day haina maana kusitisha huduma bali maana yake wamefunga shuguli za siku.
Kwani hiyo ndio barua ya serikali , yaani wachangiaji wootee huko mwanzo hawakuelewa ili wewe tu ndio umeelewa ?
 
Ataondoka kwa aibu, kwanini asirudi kwenu atawale au nyie hamtaki maendeleo mnataka bara pekee tupate maendeleo?
Kwenu na kwetu ni Tanzania ile ile tu. Watanzania huwa hatuna akili za kibaguzi zilizofilisika kama hizi za kwako.
 
Back
Top Bottom