NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 1,336
- 2,008
Hata nyeupe wanapanga foleni pale!Kuna ngozi nyeupe nayo ilikuwepo kwenye kupanga mstari au ni black
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata nyeupe wanapanga foleni pale!Kuna ngozi nyeupe nayo ilikuwepo kwenye kupanga mstari au ni black
Hizo nchi ulizozitaja ambazo unaweza kwenda bila viza hazina mvuto, ndio maana unaona watu wengi sana duniani hawashughuliki nazo Sana.Urusi unakwenda bila visa.....china wapo mchakatoni....wamarekani ni wehu,,,,,,jirani na ubalozi kuna vigrosari fedenge uwe unaombea vitu vyako hapo,,,,hata hivyo si lazima kwenda marekani.
Tatizo hamkawii kubeba "madoo"/viazi kwenye nguo vikalipuka.Kama kweli wanafanya hivyo ,WAACHE
CC: Wizara ya Mambo ya Nje
Kuna unyanyasaji nilioushuhudia ubalozi wa Marekani nilipoenda kushughulikia visa.
Kwanza pale getini, unaambiwa unaacha kila kitu huingii na chochote! Ila cha kushangaza, hawajaweka hata sehemu ya kuhifadhi mkoba au simu. Sasa sijui wanategemea ukienda huko usiende na pochi? Na je simu unamwachia nani?
Zamani wakati visa zinashughulikiwa ubalozi wa Uingereza, kulikuwa na lockers nje unaweka simu yako na kupewa kikaratasi. Sasa hawa binafsi sijawaelewa.
La pili; Ukishaingia ndani ya compund, nje ya ofisi zao, mnapanga foleni hapo nje mmesimama, hakuna hata benchi la kukaa! Iwe mvua liwe jua! Nikajiuliza je, na wenye ulemavu inakuwaje? Wanashindwa nini kuweka shed fulani na benchi angalau watu wakae?
Kutafuta visa ya Marekani ni kama kutafuta ruhusa ya kwenda mbinguni, wakati wao, wanaweza hata kupata visa airport! WHY?
Naamini wakiambiwa wanaweza kujirekebisha. Hakuna sababu ya kutunyanya kiasi hicho!
Nilimuachia dereva bajaji, na pale nje hakuna parking! Nilipotoka, ilinichukua zaidi ya masaa mawili kumpata. Sikujua kapaki wapi na sikuwa na mawasiliano yoyote.Tuambie, simu na waleti uliacha wapi?
SHUT UP! Ni visa ya mkutano walionialika wao! Kama shule, nilishamaliza zamaniii! Na kama marekani, nilishaenda naijua. Hivyo sina cha kupapalikia. Wananihitaji wao siyo mimi nawahitaji! Get it clear!Ndio ukome, sio unyanyasaji, wewe si maskini, si unataka kwenda kwa watu kutafuta riziki au elimu, fuata masharti yote, USA hawabahatishi tena kuhusu security, na ukiingia tokea Msasani wanakuona hadi unaondoka, ujue hilo, ukiwa ndani wanakuona kila kitu na ukiwa unasubiria kuingia ndani avoid kiherehere cha kuongea ongea kama Mwijaku, ukifika tu counter unaondolewa na visa hupati
Tatizo wale waalikaji hawana uhusiano na haya manyanyaso, ni watu credible kabisa! Sema hawana control!Urusi unakwenda bila visa.....china wapo mchakatoni....wamarekani ni wehu,,,,,,jirani na ubalozi kuna vigrosari fedenge uwe unaombea vitu vyako hapo,,,,hata hivyo si lazima kwenda marekani.
SHUT UP! Ni visa ya mkutano walionialika wao! Kama shule, nilishamaliza zamaniii! Na kama marekani, nilishaenda naijua. Hivyo sina cha kupapalikia. Wananihitaji wao siyo mimi nawahitaji! Get it clear!
Ahsante kwa matusi. Nilishaenda US a few times, ila kitambo, na visa ilisha-expire! So I had no idea how to start, nikasema ngoja niende niulize! Maana the last time nilipata visa, hii system ilikuwa haijaanza. Tena nilivyoenda juzi, niliingia nikaishia kwa security nje ya ofisi zao, sikuingia ndani. All I wanted was information na sikujua nitaipataje.Hopeless, i studied in US, lived and partly worked there, Fort Lauderdale to Phoenix Arizona, to Portland Oregon, so kama wamekualika mkutanoni huna maana, most people wanatumia upenyo huo kuingia Marekani kihuni huni, huna VIP status yoyote, wewe ni maskini, eti wamekualika mkutanoni, mkutano huo wa fake pastors itakuwa, if ni mkutano wa kueleweka, hupati shida, wewe unataka kuzamia, acha uhuni wako, if ungekuwa unajulikana kwenye US Immigration System ambazo balozi wanatumia ku track records, na umesema umeenda mara nyingi na kurudi, visa hawakusumbui, wewe it seems haujulikami katika system ya US, ndio maana unapata shida kupata visa..!! Au huna fedha za kutosha in your accounts.
Na ujue jinsi hujui kitu, kama wewe ni mzoefu kwenda USA hizo taratibu za kuingia ubalozi wa Marekani mbona za kawaida sana, kipi ushangae? Hii ni dhahiri hujawahi hata kufika ubalozi huo ndio mara ya kwanza, hivyo i conclude hujawahi hata fika Marekani, sbb hukutakiwa kushangaa chochote katika taratibu za kupata Visa za ubalozi wa USA, umeshangaa sbb wewe ni mgeni, hujawahi fika USA, unaona how you expose your lies to public..!!
[emoji1787][emoji1787]bakoli zao hazikupigiwa kelele na mashine, labda zao zilikuwa tofauti na yangu
Mmoja wao apunguze "ma-ofcourses"!Yamekuwa mengi.Nabariki mpambano.🙏Karungikana na Jay One
With all due respect, naomba msiishie hapo tafadhali, endeleeni kubishana nimevutiwa na namna mnapeana vitasa, wengine tunavutiwaga na hizo 'vayolensi', msitunyime uhondo abegiiooh'..!!😂😂
Ahsanteni..!!
Kuna unyanyasaji nilioushuhudia ubalozi wa Marekani nilipoenda kushughulikia visa.
Kwanza pale getini, unaambiwa unaacha kila kitu huingii na chochote! Ila cha kushangaza, hawajaweka hata sehemu ya kuhifadhi mkoba au simu. Sasa sijui wanategemea ukienda huko usiende na pochi? Na je simu unamwachia nani?
Zamani wakati visa zinashughulikiwa ubalozi wa Uingereza, kulikuwa na lockers nje unaweka simu yako na kupewa kikaratasi. Sasa hawa binafsi sijawaelewa.
La pili; Ukishaingia ndani ya compund, nje ya ofisi zao, mnapanga foleni hapo nje mmesimama, hakuna hata benchi la kukaa! Iwe mvua liwe jua! Nikajiuliza je, na wenye ulemavu inakuwaje? Wanashindwa nini kuweka shed fulani na benchi angalau watu wakae?
Kutafuta visa ya Marekani ni kama kutafuta ruhusa ya kwenda mbinguni, wakati wao, wanaweza hata kupata visa airport! WHY?
Naamini wakiambiwa wanaweza kujirekebisha. Hakuna sababu ya kutunyanya kiasi hicho!
Kila kitu kipo online mkuu. Soma kipengele cha Security Info.Kuna unyanyasaji nilioushuhudia ubalozi wa Marekani nilipoenda kushughulikia visa.
Kwanza pale getini, unaambiwa unaacha kila kitu huingii na chochote! Ila cha kushangaza, hawajaweka hata sehemu ya kuhifadhi mkoba au simu. Sasa sijui wanategemea ukienda huko usiende na pochi? Na je simu unamwachia nani?
Zamani wakati visa zinashughulikiwa ubalozi wa Uingereza, kulikuwa na lockers nje unaweka simu yako na kupewa kikaratasi. Sasa hawa binafsi sijawaelewa.
La pili; Ukishaingia ndani ya compund, nje ya ofisi zao, mnapanga foleni hapo nje mmesimama, hakuna hata benchi la kukaa! Iwe mvua liwe jua! Nikajiuliza je, na wenye ulemavu inakuwaje? Wanashindwa nini kuweka shed fulani na benchi angalau watu wakae?
Kutafuta visa ya Marekani ni kama kutafuta ruhusa ya kwenda mbinguni, wakati wao, wanaweza hata kupata visa airport! WHY?
Naamini wakiambiwa wanaweza kujirekebisha. Hakuna sababu ya kutunyanya kiasi hicho!
Achana nao hao wabaguzi, nenda uarabuni waache na kanchi kao, ila acha kutuletea malalamiko ya kijinga na ukome.Kuna unyanyasaji nilioushuhudia ubalozi wa Marekani nilipoenda kushughulikia visa.
Kwanza pale getini, unaambiwa unaacha kila kitu huingii na chochote! Ila cha kushangaza, hawajaweka hata sehemu ya kuhifadhi mkoba au simu. Sasa sijui wanategemea ukienda huko usiende na pochi? Na je simu unamwachia nani?
Zamani wakati visa zinashughulikiwa ubalozi wa Uingereza, kulikuwa na lockers nje unaweka simu yako na kupewa kikaratasi. Sasa hawa binafsi sijawaelewa.
La pili; Ukishaingia ndani ya compund, nje ya ofisi zao, mnapanga foleni hapo nje mmesimama, hakuna hata benchi la kukaa! Iwe mvua liwe jua! Nikajiuliza je, na wenye ulemavu inakuwaje? Wanashindwa nini kuweka shed fulani na benchi angalau watu wakae?
Kutafuta visa ya Marekani ni kama kutafuta ruhusa ya kwenda mbinguni, wakati wao, wanaweza hata kupata visa airport! WHY?
Naamini wakiambiwa wanaweza kujirekebisha. Hakuna sababu ya kutunyanya kiasi hicho!
🤣🤣🤣Karungikana na Jay One