Mwiba1
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 1,122
- 2,445
Bro unatupanga sanaNdio ukome, sio unyanyasaji, wewe si maskini, si unataka kwenda kwa watu kutafuta riziki au elimu, fuata masharti yote, USA hawabahatishi tena kuhusu security, na ukiingia tokea Msasani wanakuona hadi unaondoka, ujue hilo, ukiwa ndani wanakuona kila kitu na ukiwa unasubiria kuingia ndani avoid kiherehere cha kuongea ongea kama Mwijaku, ukifika tu counter unaondolewa na visa hupati