Unyanyasaji kwenye ubalozi wa Marekani

Bro unatupanga sana
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ mjegeje za kichwa tu...RIP
 
Sister ukiona analialia humu ujue tayari kakutana na za uso
 
halafu kwa pembeni kuna zungu limevaa kijeshi liko busy na mitambo ndani ya kichumba kama strong room sijui linarekodi nini na kutuma taarifa kwao
Jamaa wako very serious aisee linapokuja swala la usalama
 
Utakuwa umenyinmwa viza, maana ungepewa hata hizo kasoro usingeziona πŸ˜€
 
Marekani ni kama mbinguni hapo ndipo kwenye point kubwa uliyoisahau
 
Mkifika kwao mnaanza maandamano ya kuunga mikono Hamas ndio maana bora msumbuliwe, hatimaye wametia akili brazaj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…