Unyanyasaji wa haki za msingi za watotoa mashuleni umulikwe. Kiambatanisho kwa thread kifike mbali

Unyanyasaji wa haki za msingi za watotoa mashuleni umulikwe. Kiambatanisho kwa thread kifike mbali

Trayvess Daniel

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
651
Reaction score
1,244
Wazazi tuungane kukemea hili.

Tunazalisha kizazi cha watoto wajinga in the name of performance.

Sisi tulienjoy shule ya msingi. Saa nane kamili unarudi nyumbani.

Siku za michezo ni michezo kwelikweli
Na baadhi yetu tumesoma shule zina mchaka chaka asubuhNa

Na bado tulifaulu vizuri msingi mpaka secondary na kupata pass mark za vyuo vya kuchukua cream(Binafsi nimesoma day mpaka form 1 mpaka form 6 term ya kwanLak

Lakini siku hizi ati mtoto wa darasa nne saa 12 kamili awe darasWato

Watoto wadogo wanalazimishwa boarChama

Chama cha madaktari wametusaidia jamani. Ujumbe usambae

Screenshot_20211124-215306_Chrome.jpg
 
Wazazi tuungane kukemea hili. Tunazalisha kizazi cha watoto wajinga in the name of performance.
Sisi tulienjoy shule ya msingi. Saa nane kamili unarudi nyumbani
Siku za michezo ni michezo kwelikweli
Na baadhi yetu tumesoma shule zina mchaka chaka asubuhi.
Na bado tulifaulu vizuri msingi mpaka secondary na kupata pass mark za vyuo vya kuchukua cream(Binafsi nimesoma day mpaka form 1 mpaka form 6 term ya kwanza)
Lakini siku hizi ati mtoto wa darasa nne saa 12 kamili awe darasani.
Watoto wadogo wanalazimishwa boarding.
Chama cha madaktari wametusaidia jamani. Ujumbe usambae

View attachment 2022452
Chama cha kitaaluma cha nchi kinaitumia Gmail? Shida inaanzia hapo.
 
Kero yangu kubwa ni usafiri & uzito wa mabegi

Hilo no.7 mi naona wakaze hapo hapo,kuna baadhi ya watoto hawapendi kula,wengine wanachagua sana chakula,walazimishwe hivyo hivyo,unataka au hutaki utakula umalize hata kama ni makande!!!!
 
Mbali ya sheria za shule wapo wazazi wanakwepa majukumu ya malezi kupeleka watoto wadogo 2 years.,.. shule za bweni. Serikali iharamishe hili isipokuwa kwa makundi maalumu ikibidi.
 
Kero yangu kubwa ni usafiri & uzito wa mabegi

Hilo no.7 mi naona wakaze hapo hapo,kuna baadhi ya watoto hawapendi kula,wengine wanachagua sana chakula,walazimishwe hivyo hivyo,unataka au hutaki utakula umalize hata kama ni makande!!!!
Shule sio gereza wala jeshi.... akishindwa kula shule atakula nyumbani. Kuna watoto tu huwa hawapendi kula mpaka wafikie umri fulani. Na wala sio matter ya kuchagua vyakula. Sasa wengine wanalazimisha watoto mpaka na viboko juu. Sio sawa
 
Wazazi sisi wenyewe ndio tatizo, yani tunaamini mtoto anatakiwa kuwa busy na makaratasi muda wote.
Binafsi nilimlima barua mkuu wa shule moja hapo segerea kwamba sitaki mtoto apewe homework.
Yani mtoto wa chekechea anapewa homework ya nn? Halafu unakuta mama yake ananikomalia eti msaidie mtoto afanye homework.
 
Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) kimetoa waraka wa tahadhari kuhusu afya ya watoto wa shule. Naamini wahusika (Wazazi/walezi, Wakuu wa Shule, Waalimu, na Wizara) watazingatia na kuchukua hatua stahiki mara moja
IMG-20211125-WA0004.jpg
 
Kero yangu kubwa ni usafiri & uzito wa mabegi

Hilo no.7 mi naona wakaze hapo hapo,kuna baadhi ya watoto hawapendi kula,wengine wanachagua sana chakula,walazimishwe hivyo hivyo,unataka au hutaki utakula umalize hata kama ni makande!!!!
Usipeleke mtoto boarding
 
Wamiliki wa hizo shuleni ni hao hao, watunga sera za elimu, na wakuu wa sirikali.
 
Back
Top Bottom