Trayvess Daniel
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 651
- 1,244
Chama cha kitaaluma cha nchi kinaitumia Gmail? Shida inaanzia hapo.Wazazi tuungane kukemea hili. Tunazalisha kizazi cha watoto wajinga in the name of performance.
Sisi tulienjoy shule ya msingi. Saa nane kamili unarudi nyumbani
Siku za michezo ni michezo kwelikweli
Na baadhi yetu tumesoma shule zina mchaka chaka asubuhi.
Na bado tulifaulu vizuri msingi mpaka secondary na kupata pass mark za vyuo vya kuchukua cream(Binafsi nimesoma day mpaka form 1 mpaka form 6 term ya kwanza)
Lakini siku hizi ati mtoto wa darasa nne saa 12 kamili awe darasani.
Watoto wadogo wanalazimishwa boarding.
Chama cha madaktari wametusaidia jamani. Ujumbe usambae
View attachment 2022452
Kuna muda tunapaswa kudili na content kuliko hayoChama cha kitaaluma cha nchi kinaitumia Gmail? Shida inaanzia hapo.
Haya ndio matokeo yake! Uandishi gani huu?fact kabx
Kuna content gani hapo?Kuna muda tunapaswa kudili na content kuliko hayo
Hakuna mkuu,Kuna content gani hapo?
Achana na watu ambao akili zao zinawatosha kuvuka barabara tuHakuna mkuu,
Shule sio gereza wala jeshi.... akishindwa kula shule atakula nyumbani. Kuna watoto tu huwa hawapendi kula mpaka wafikie umri fulani. Na wala sio matter ya kuchagua vyakula. Sasa wengine wanalazimisha watoto mpaka na viboko juu. Sio sawaKero yangu kubwa ni usafiri & uzito wa mabegi
Hilo no.7 mi naona wakaze hapo hapo,kuna baadhi ya watoto hawapendi kula,wengine wanachagua sana chakula,walazimishwe hivyo hivyo,unataka au hutaki utakula umalize hata kama ni makande!!!!
Hili sio siasa likitiliwa ngumu linawezekana. Ni umoja tu wa wazaziUshauri mzuri sana, ingawa nahisi utekelezaji wake utakua mgumu kama ombi la katiba mpya kwa sasa.
Usipeleke mtoto boardingKero yangu kubwa ni usafiri & uzito wa mabegi
Hilo no.7 mi naona wakaze hapo hapo,kuna baadhi ya watoto hawapendi kula,wengine wanachagua sana chakula,walazimishwe hivyo hivyo,unataka au hutaki utakula umalize hata kama ni makande!!!!