Unyanyasaji wa kibinaadamu hasa kwa wezi siyo mzuri

Hiyo hiyo Biblia inasema mshahara wa dhambi ni mauti na haijawahi kupingwa hiyo
 
Nazungumzia hayo mateso waliyompa na sitayari wamemkamata? Kwanini wakoroge.cement wamnyweshe? Kwanini wamfunge mikono wamwagie petrol na kumchoma sio haki kabisa! Acha kutetea unyanyasaji wa kibinaadamu.
Akipelekwa Police Kesi inachukuwa miaka na mara nyingi wanatoka kwa Kesi kukosa ushaidi na pia nenda rudi ya wewe ulieibiwa- ingependeza mwizi akikamatwa na ushaidi upo 100% aukumiwe afungwe! Akirudi kitaa awaachi huenda akaja tena kuiba kwa ile nyumba ..... dawa yake ni ....
 
NJIA PEKEE YA YA KU UKATAA UNYANYASAJI, MATESO NA UDHALILISHAJI NI KUTO KUIBA MALI YA WENYEWE.
 
Imetokea wapi iyo??? Maana kuna kijana wetu uku mtaani nasikia amefanyiwa kama ivyo..ika bado hatujazika
 
Wewe uliibiwa lakini hujawahi kusafishwa na wezi, utakuja kunadili msimamo wako japo wapo watu wenye roho mbaya
Sio kusafishwa. Niliibiwa hela nyingi sana, mbaya zaidi hazikuwa zangu. Msoto nilioupata baada ya hapo, sitakaa nisahau maisha yangu yote. Maana ni afadhali zingekuwa ni fedha zangu. Lakini uthubutu wa kumtoa mwizi damu sina aisee.
 
Mie niliponea chupu chupuuu kosa watu wazima wawili ningekufaaa,
Kibaka m1 kumbe alikua ananifatilia, siku hyo natoka chuo SAA 3 uiku, nashangaa ngumi ya tumbo kuinama hiv teke had chini, eti leta kila kitu lasivyo nakumaliza hapa, katoa kisu hilo na bisi bisi, hapo nna cm, pc, hela na mkobaa, ilee naanza kutoaa document na ID kwa mkobaa ndo wakatokea watu hao wawili ndo yule jamaa akakimbia.

Na nilihama ule mtaaa. Khaaah wafe tyuuh hawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah pole sana
 
Kinachochangia wananchi kuchukua sheria mkononi ni swala moja tu mfumo wetu wa polisi mpka mahakama una kona nyingi na ufuatiliaji mwingi mwizi anaweza pelekwa polisi akawekwa ndani akifika mahakamani anahitajika shahidi na hakuna mtu anakubali muda wake upotee ndio maana wakikamatwa waizi wanauliwa. Pia mwizi anaweza fungwa hata miezi 6 mpka mwaka ila akitoka bado anaendeleza tabia yake ile ile hivyo ukileta ubaya bas inakua mambo mbaya
 
Hio adhabu ingehamia na kwa wabakaji pia
 
tatizo polisi
 
Nazungumzia hayo mateso waliyompa na sitayari wamemkamata? Kwanini wakoroge.cement wamnyweshe? Kwanini wamfunge mikono wamwagie petrol na kumchoma sio haki kabisa! Acha kutetea unyanyasaji wa kibinaadamu.
We unaona hayo mateso!!..mtaani kwetu tunawapaka vanish ya mbao kichwani,tunawalawiti Kisha kipigo,ndo tunawaachia
 
Sio kusafishwa. Niliibiwa hela nyingi sana, mbaya zaidi hazikuwa zangu. Msoto nilioupata baada ya hapo, sitakaa nisahau maisha yangu yote. Maana ni afadhali zingekuwa ni fedha zangu. Lakini uthubutu wa kumtoa mwizi damu sina aisee.
Basi we nyoronyoro sana, mi mwizi akipita anga zangu sitamsamehe hata kidogo nitamkata mikono
 
Hahahahaaa .. pole shooo...daaahhh
Mimi sijawahi kabwa ila mmewahi ibiwa vitu vya ndani km mahobda weee..usiombe yakukute
Utaitafuta adabu mkononi uishike
 
Tujadili chanzo au matokeo?
 
Wanaoweza kuwaua wawaue tu Mimi siwezi ila Sina huruma na mwizi natamani na haya mafisadi tungekua tunayaua kama Hawa wezi wa kuku
Muda utafika wataanza kupotea mmoja mmoja waache waendelee kula pesa za wananchi hizo dhambi watazilipia bill.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…