Unyanyasaji wa kibinaadamu hasa kwa wezi siyo mzuri

Mwageni damu zao,
Mukahesabiwe uovu wenu mbele ya Haki!
Pale mtakapopewa calculator mukokotoe thamani ya uhai ulioutoa na simu yako iliyoibiwa, ili uoneshe ulinganifu wake!

Ole wako utakapoushindwa mlinganyo huo!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wezi wanazingua nao kuna wakati nilikuwa na mtazamo kama wa kwako ila nilikuja badilika kabisa baada ya kuona mwizi amemchoma dada mmoja jirani yangu kisu cha mgongo ili tu afanikishe wizi wa simu apumzike kwa amani rafiki yangu yule..[emoji120]
Ebu onaa simu tu anamchomaa kisu dada wa watu mpk akafa hlf mpumbavu mmoja anakuja kuteteaa upuuzii hapaa,,huyu nae ni mwizi
Wezi wauliweeeeee kwa namna yoyote ile
 
Kuna jamaa ashasema hapo juu, mwizi akija kuiba kwako ashajipanga kufaa na kuua.

Issue ni timing ukimuwahi nakusihi sana MUUE tu washenzi sana
 
Hapana dawa ya mwizi ni risasi ya kichwa tu hamna namna nyingine!! Ukiwachekea watakuingiza kidole jichoni!!

Kati ya watu ambao siyo wa kuvumilia ni vibaka na majambazi piga shaba za kichwa!! Wafanye kazi waache upumbavu!!

La sivyo na wewe ni kibaka au jambazi dawa yenu ni risasi za kichwa tu
 
Ebu onaa simu tu anamchomaa kisu dada wa watu mpk akafa hlf mpumbavu mmoja anakuja kuteteaa upuuzii hapaa,,huyu nae ni mwizi
Wezi wauliweeeeee kwa namna yoyote ile
Wanazingua sana acha nao waone uchungu.
 
Nazungumzia hayo mateso waliyompa na sitayari wamemkamata? Kwanini wakoroge.cement wamnyweshe? Kwanini wamfunge mikono wamwagie petrol na kumchoma sio haki kabisa! Acha kutetea unyanyasaji wa kibinaadamu.
Angekuwa ndio kosa lake la kwanza ningekuwa na huruma ila hilo yaweza kuwa kosa lake la 25
 
Huwa nafirijika sana nikikuta mwizi anakula kichapo. Kama nilikuwa napita na gari, ninapaki pembeni kuinjoi
 
Nazungumzia hayo mateso waliyompa na sitayari wamemkamata? Kwanini wakoroge.cement wamnyweshe? Kwanini wamfunge mikono wamwagie petrol na kumchoma sio haki kabisa! Acha kutetea unyanyasaji wa kibinaadamu.
Siku nyingine uwaombe wakunyweshe wewe
 
Naona watu wengi hata hawajaelewa mada yangu! Nazungumzia vitendo alivyofanyiwa huyo mwizi kuwa sio vitendo vya kibinaadamu kabisa na tuvikemee visiwe vinahalalisha uovu zaidi kwenye jamii.
Yeye mwizi kitendo chake cha wizi ni cha kibinadamu
 
Acha ale adhabu siku ukiibiwa au kujeruhiwa ndo utajua wakoje. Sinaga huruma na mwizi hata kama namfaham nikikuta anapigwa siwezi kumtetea.
 
May he soul rest in peace 🕊️
Swali langu ni kama umemkamata kwanini umue?

Anauliwa wasababu anastahili kufa, au kupata kinachomstahili.

kwanini achukue kitu cha watu? Kama yeye kimemshinda kukipata kwa nja halali (imekuwa ngumu) anadhani kwa wengine kilipatikana kirahisi ili akachukue tu?

Mwizi hapaswi kuachiwa bila kipigo, ni lazima aguswe ili aachwe na kumbukumbu za kudumu kwenye mwili wake au kufa kabisa pale inapobidi ( kulingana na ukubwa wa tukio)

Mungu mwenyewe ana samehe ila hajawahi kudeal kabisa na matokeo ya dhambi zetu, mfano atakusamehe dhambi ya udhinifu lakini kama kwenye hiyo dhambi yako uliibuka na UKIMWI, utabaki nao kama matokeo ya ile dhambi.

Kwanini Mwizi asione matokeo ya dhambi yake hata kama kakamatwa na kukiri?

WATESWE ana KUULIWA.
 
People are filled with evil spirits which make them to be cruel and inhuman. You should thank God that you are not possessed by that spirit. Regardless of what has been done to you there is never a reason to be angry and hurt others
 
Hahahahaaa .. pole shooo...daaahhh
Mimi sijawahi kabwa ila mmewahi ibiwa vitu vya ndani km mahobda weee..usiombe yakukute
Utaitafuta adabu mkononi uishike
Yaan wee acha tyuuh, wezi wenyewee wakiwa ktk mawindo yao wanawaza kuua ili waibe vizuri. Lol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwizi ukiweza niibie tu ila ukiingia kwenye 18 zangu ndio utajua kuwa kunabinadamu shetani.
 
Mtoa uzi nadhan hujawahi kuibiwa.Mwaka 1998 nikiwa darasa la pili nilishuhudia mwizi akiuliwa kwa kuchomwa moto baada ya kuvalishwa mfuko wa sandarusi.Hapo alikua ameiba mahindi debe mbili tu,niliumia sana.
Kwa muda mrefu tangu nishuhudie tukio hilo nilikua nawahurumia sana wezi na nilikua sisogei karibu wanapokua wanasulubiwa kwa vile moyo wangu ulikua unaumia mno.
Mwaka 2019-08-10 nilipigwa 'kitu kizito'.Wezi walicheza na kitasa wakazama ndani kwangu na kuniibia tv,simu na vitu vingi vilivyokua sebuleni vyote vikiwa na thamani ya tsh 3 million na kidogo,tangu hapo sina huruma na hawa watu[emoji51][emoji51]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwizi kabla ya kum-post inabidi ale viboko hata 30 ndio apelekwe polisi
 
Hayajakukuta siku yakikuta hutaamini maamuzi utayafanya hadi utajishangaa kama ni wewe
 
Milion 3 inakufanya uone uhai wa mtu hauna thamani Tena?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ukatili si mzuri lakini hao jamaa siku wakikupitia mtazamo unaweza kubadilika dakika tuu
Wee subiri siku wamparaze ndo atajua hajui, siku ananyang'anywa pesa, sim au mali yake mwenyewe Tena Kwa makofi akisindikiziwa na matusi, mawe na mapanga ndo atajua kwanini watu huwa wanaasira na wezi

na ndo atajua kwanini mwizi akikamatwa anachomwa moto, Tena yawezekana siku akiskia mwiziiii... akatoa na ofa ya petrol ya Bure ili wammalize kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…